atafufuka SIKU YA NNE Ona sasa kafa Ijumaa jamani!!! atamweleza nini Nyerere kuhusu wanaMagamba na Mafisadi Papa aliowakataa akina Edu Rost na Cheng
Una hakika gani wanaenda kukutana na Nyerere? Au nyerere alikuwa mshirikina?
atafufuka SIKU YA NNE Ona sasa kafa Ijumaa jamani!!! atamweleza nini Nyerere kuhusu wanaMagamba na Mafisadi Papa aliowakataa akina Edu Rost na Cheng
pOLENI WAFIWA!
Sheikh Hussein alikuwa mganga-Njaa tu kama walivyo wasanii wengine!
Tusimlaumu jamani, angekulka wapi?
RIP Shehe, Pole sana JK kwa kuondokewa na mhimili wako(Mtabiri wako)naamini taarifa umeshazipata maliza kikao uje umzike swahiba wako
Mungu ailza roho ya marehemu pepa peponi na kuwapa faraja familia wakati huu wa majonzi. Amin.He died this morning at his magomeni home, acording to one of his sons. More to come
Mwehu ni Shehe mchawi Yahaya mlinzi wako na majini yake....
Alisema Shibuda atakufa....yeye nani? mwehu sio?
Sasa CCM itakuwaje?
Mchawi yahaya alikuwa na mashori wengi uku afya yake ilizorotaJe mumejua amekufa kwa ugonjwa gani na umemsumbua kwa kipindi gani?
sasa JK na sheih wanauhusiano gani? Au unaanza uchokozi?
He died this morning at his magomeni home, acording to one of his sons. More to come