Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Du sipiti migo migo hiyo mijamaa yake ka iko loose noumer.
I had a session with him once i will never forget what he told.
 
he prophesied tommorrow (21.5.2011) to be the end of the world, unfortunately he has gone first (a day before...). R.I.P Sheikh
 
RIP Sheikh Yahya Hussein.

Marehemu alitoa 'huduma' kwa viongozi wengi Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania na Kenya(Kenya National Assembly Official Record - Hansard Link: Kenya National Assembly Official ... - Google Books .

Pia kupitia kazi zake inasemekana alikuwa informer wa TISS (UWT) kama kitabu cha mwanaharakati Ludovich Mwijage ; LINK The Dark Side Of Nyerere's Legacy, By Ludovick. S. Mwijage | My Africa kinavyoelezea undani wa kutekwa kwake nchini Swaziland baada ya kukutana na baadhi ya Watanzania akiwemo Sheikh Yahya, ambapo L. Mwijage anaelezea kupotelewa na ma-dokumenti yake ktk chumba cha hoteli aliyokuwa anaishi Marehemu Sheikh Yahya Hussein huko Swaziland.

Marehemu Sheikh Yahya alikuwa anakwenda na wakati kiteknolojia kwani alikuwa pia anatumia teknohama kutangaza utabiri na kazi zake ktk TV na YOUTUBE kwa account ya Astrosheikh:

 
Last edited by a moderator:
masikini wee sijui mkuu wa KAYA atalindwa na nani?yani hata kujitabiria kama atakufa kashindwa?kweli mganga hajigangi,ametangulia yeye kabla ya yule aliyesema akimchallange mkuu wa kaya kwenye uchaguzi atakufa.
RIP mnajimu na mlinzi wa mkuu wa kaya myanya wako sijui nani atauziba kwenye chama cha magamba
 
He died this morning at his Magomeni home.
Kwa mujibu wa mwanawe aitwaye Hassan, Sheikh yahya amefariki kutokana na heart failure. Aliamka asubuhi ya leo akiwa buheri wa afya, akaanza kazi yake ya kuona wenye matatizo wanaokuja kwake.

Kama kwenye saa tatu hivi, akaanza kujisikia vibaya, akapewa glasi ya juisi lakini hali haikutulia. wakaamua kumkimbiza katika hospitali moja maeneo ya Morocco na alipofikishwa hapo madaktari wakasema tayari ameshafariki dunia.

Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwake na atazikwa kesho jijini Dar.

Ameimaliza safari yake. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina

Sheria za kiislam zinasemaje? Si azikwe leo leo

Mlio angalia chanel 10 vp hakujitabilia kifo?
 
tukamuulize JK ile misukule na majini yanayomlinda yatakula nini kwa sasa?

Nafanya utani isije ikawa kweli MCHAWI MWENYE LESENI KAFA?

yamemnyonya damu Sheikh Yahya mwenyewe sasa yatanyonya damu za kina Riz 1 na baba yake
 
R.I.P mtabiri wa Ikulu yetu!!! Salva Rweyemanu upo? Ila mbona kafa kabla ya wale waliosimama uchaguzi na JK wakiwa hai? Mwongo mkubwa wewe, acha ufe tu maana ulitudanganya sana. Umekula hela za watu wengi ukijidai unawasafishia nyota kumbe tapeli tu wewe. Nasikia kwake hakuna kiwango cha consultation fees, anakuangalia machoni tu anakutajia. Hivi alikuwa kwenye kale ka nyumba kachafu Magomeni? Yaani nikipita pale nikitazama makazi napata kichefuchefu. Ulitishia hadi viongozi wa madhehebu mengine, na wakakuombea duwa!!!!
 
nani anarithir Mikoba? naskia JK kaachiwa.....sasa tujiulize nani atakayefuatia kutabiriwa kifo...!? mie simo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom