Dickson Ng'hily
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 472
- 507
Aliyekuwa mnajimu mkuu wa Afrika mashariki na kati Sheikh yahaya amefariki dunia leo.
View attachment 30412
mnajimu maarufu afrika mashariki na kati, sheikh yahaya hussein amefariki dunia leo asubuhi nyumbani magomeni, jijini dar es salaam. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa ndugu zake wa karibu. Habari kamili soma mwananchi kesho
source: Mwananchi
Muungwana ni Mchawi Sheikh Yahya aliekuwa anatupia watu majini kuua wenzake......Alikupokonya jembeeee! we mbwiga msiba uusikie kwa jirani tu. Maneno yako hayo yanaonyesha usivyomuungwana.