Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

At last (kama kweli) na yeye yamemkuta maana alikuwa bingwa sana wa kusema atakufa fulani.....ila sasa yale majini yatatunzwa na nani?....si yanakulaga damu za watu yale?

Sunday, July 26, 2009

UTABIRI WA SHEIKH YAHYA HUSSEIN





Sheikh Yahya Hussein ameibuka na utabiri wa mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na ule unaodai kuwa kuna rais wa nchi moja ya mashariki mwa Afrika atatekwa akiwa kwenye ndege au kupinduliwa.Sheikh Yahya amewaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo, litatokana na hali ya kupatwa kwa jua kulikotokea juzi nchini China na kwingineko barani Asia.

Ameendelea na kutabiri kuwa pia kutatokea matatizo katika mambo ya ulinzi na usalama kwa viongozi wa nchi mbalimbali za mashariki ya Afrika.Hata hivyo, hakutaja nchi yoyote ambayo itakumbwa na tukio hilo."Pia natabiri baadhi ya wabunge kadhaa kufungwa na wengine kufa ghafla," akasema.

Akaongeza kuwa vilevile, baadhi ya maofisa wa ngazi za juu serikalini watafukuzwa kazi wakiwa nje ya nchi zao kwa kashfa mbalimbali.Ameendelea kueleza kuwa vyama vya siasa vinavyotawala na vile vya upinzani vitakuwa na mabadiliko makubwa.Aidha, akasema kuwa Muungano wa Tanzania utaendelea kudumu licha ya watu kulalamikia kasoro kadhaa kila kukicha.
vipi hapo kwenye mstari wazanzibar wanasemaje?
 
majini sijui nani atayacontrol kwa sasa.. wakazi wa migo migo wakae chonjo
 
MUNGU akuweke mahali unapostahili Sheikh Yahya.....Tunajua kila nafsi itaonja mauti...

Niliwahi kumsoma na kumuelewa vizuri Sheikh Yahya...Katika kitabu cha "THE DARKSIDE OF NYERERE'S LEGACY by Ludovic S Mwijage...alikuwa ni zaidi ya mtabiri.
Yah man....take your time msome Ludo mwijage hapa
Having no baggage to claim, I proceeded through customs at Matsapha airport, Swaziland, without delays, thanks largely to holding a Commonwealth passport. I did not require a visa and had no cause to explain my situation to Swazi officials. I proceeded to Mbabane, the capital, taking a ride with an Eritrean UN official who had collected a relation from the same flight. By the time I arrived in Mbabane it was late afternoon, and I noted that the following day was a public holiday. Finding accommodation was my main concern as I wandered aimlessly along Allister Miller Street, Mbabane’s main road. As I passed Jabula Inn, a main road hotel, a lean man who looked to be in his late fifties or early sixties emerged. Apparently he had detached himself from a group of people he was conferring with in the hotel foyer. He wore a fez hat and was far too dark to be Swazi (most Swazis are light in complexion). His right hand held a set of joined beads which he counted quickly and repeatedly, as if he was meditating or praying although he continued to talk with people as he did this. He gesticulated and looked at me as if he recognised me. I returned the look, thinking I recognised him from somewhere. We exchanged glances and it occurred to me that I knew the man, but I couldn’t recall from where. He made the first move, greeting me in Swahili. I returned his greeting, surging forward to shake his hand. There was no doubt the man I had just greeted was the renowned Nairobi-based Tanzanian astrologer, Sheikh Yahya Hussein. Now I remembered seeing his pictures in newspapers almost every day, advertising his trade, although I could never work out how he recognised someone like me he had never seen before.

Hussein led me into his room with quick, short strides, nodding at people in the queue. He was booked in Room 1 at Jabula Inn and had a room-within-a-room inside his quarters. This provided him with the space he needed: one room for consultancy, the other for his private sleeping quarters. He invited me into his private room; it seemed there was someone else in the consultation room. A beautiful woman, about half Hussein’s age, sat on the unkept bed, seemingly vegetating. She held a can of Castle Beer which seemed empty. Hussein talked briefly to the man in the other room, then joined us. Africans generally respect elders as sages of infinite wisdom. Hussein’s professional standing and the trust others confided in him encouraged me to tell all. Moreover, he had the title of sheikh, which, with its spiritual overtones, projected a sense of moral purity and authority. To my surprise, he knew quite a bit about my situation. Before I had finished my story Hussein telephoned the receptionist and asked her to come to his room. A tall, well-built woman with big eyes arrived and Hussein instructed her to give me a room for several nights at his expense. She agreed, but said the vacant room had to be tidied up. As we waited Hussein asked me to place my paper bag, which I still nursed on my lap, under his bed. He wanted me to go and buy some articles for him. On my return I picked up my paper bag and, being very tired, proceeded to the room Hussein had hired for me. It was there that I realised that some items were missing: the telex from Germany; the letter I had received from a friend, Amos Ole Chiwele, a refugee recognised by the UN; and the cover of my air ticket. I hastily returned to Hussein’s room hoping to retrieve these items, which I nevertheless doubted could have fallen out of the packet. A thorough check under Hussein’s bed revealed no trace of the missing items. Hussein supervised as I searched the bed, all the time claiming that nobody had touched my bag during my absence. I did not at any time imply this might have occurred. The items had unfortunately disappeared, rather mysteriously. Swaziland granted me political asylum within weeks
 
Kuna mchungaji aliwahi kutabiri kuwa shekh yahaya hamalizi mwaka huu, naona imekuwa kweli ingawa hakuna ajuaye siku ya kufa mtu mwingine wala siku ya kufa yeye mwenyewe

Mungu amsamehe kwa dhambi ya kuiteka serikali yetu na majini yake. Anga letu sasa limefunguka kwani jumba la mkuu wa persia aliyekuwa anazuia maombi yetu yasitufikie yakijibiwa na Mungu imeharibiwa...ole ni kwao watakao ruhusu miili yao kutumiwa na huyo mkuu ambaye sasa yuko mitaani kama simba atafutaye pango lakujificha ili apate mawindo ingekuwa heri kwao wasingezaliwa maana adhabu yao ni kubwa!

Majimoto leo inabidi tuingie katika praise and worship kumshukuru Mungu kwa mema yote kwa watanzania...Bwana wa vita amejibu kwa moto; tuli mwoonya hakutusikiliza akadhani nguvu zetu ni sawa na zake never some of us are prince in this dominating kingdom!

Poleni wafiwa wote huzuni yenu ni yetu cha msingi nikujifunza kwa kila tukio la maisha ya mwanadamu na hasa wakati huu tukitafakari matendo ya mpendwa wetu huku tukikumbuka Mungu ni zaidi ya wote wenye mwili naye ni hakimu wa haki. Tujiulize tukiondoka duniani nchi yetu itatukumbuka kwa wema ama ubaya? Lakini zaidi ya yote R.I.P Yahya!
 
Siku chache baada ya mnajimu maarufu sheikh Yahya kutabiri kifo cha gafla kwa yoyote atakaechukua fomu kugombea na Kikwete mtabiri huyo nae amejikuta akitabiriwa kifo.

Akiwahutubia mamia ya waumini wa kanisa la glory of christ ubungo jijini mchungaji gwajima amesema Sheikh Yahya nae atakumbuna na kifo kama asipotubu mbele za Mungu na kuachana na tabiri zake zenye kuwatisha Bin -Adam.

Hata hivyo mchungaji huyo akihubiri ibada ya jumapili amesema sheikh yahya anaweza kupona kama atafanya mambo matatu nayo ni

1)kumwona ana kwa ana pastor gwajima

2)kisha atubu dhambi alizowahi kufanya kabla ya kuokoka

3)anatakiwa kuacha kumtumikia shetani na mwisho atangaze yote aliyofanya machafu tangu aanze shuguli zake

Alilaani tabia yake ya kuwatishia watu huku akijua mungu ndie mwenye utawala na mamlaka ya kujua uwepo wao duniani, ni mashairi magumu huenda yakawa hivyo kwake ila hayana jinsi kama anahitaji kupona....

More info nunua alasiri.
 
Mchawi yahaya alikuwa na mashori wengi uku afya yake ilizorota
Sheikh-Yahya.JPG

Huyo ni mkewe, mwanawe au mjukuu????
 
Jamani, Kwanini mnapoteza wakati wenu kumuombea mchawi mwenye leseni (shehe yahaya) alale pema peponi wakati we all know hato lala pema peponi?

Unajua uzuri Mungu ashasema ukitaka kulala pema peponi ufanye nini, otherwise hautolala.

Hii inamaanisha wachawi, waongo na wachonganishi hawatolala pema peponi, so lets save our RIP kwa mchawi kama huyu, watu wasikitike tu kwa kuwa huyu nae alikuwa binadamu bila kujalisha maisha yajayo aliyochagua kwenda kuishi kwa maisha ya uchawi aliyoyaishi duniani.

NOTE: MCHAWI NI MCHAWI TU HATA AKIJIITA MTABIRI.
 
kuna taarifa kuwa shekhe yahya husein amefariki.
 
R.I.P Sheikh, wafiwa wote poleni!
Alichanganya watu wengi kwa mikwala yake, aliupata umaarufu kwa ujanja ujanja tu.
 
Yametimia Njiandae na mapopobawa yake majirani sasa mtakoma hata wake zake nao watakomanilazima yazae nao, kama unataka kuoa katika ukoo ule kuwa makini unaweza kuoa jini
 
Duu! Pole idara ya usalama wa taifa kwa kuondokewa na mkuu wa ulinzi wa rais RIP jamani jipangeni ulinzi uimarishwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom