Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,462
- 7,248
hizo propaganda unajazwa na kanisani ama ?
Kama huna la maana kaa kimya.
Tufanye sensa yenye vitengo vya kujua dini,umri,vilema,elimu na jinsia ili itusaidie katika mipango ya maendeleo ya nchi yetu.
Kwanini wakristo wana kataa sensa yenye kitengo cha kuhesabia watu kwa dini,jibu ni kuwa wanaogopa kuzidiwa na waislam maana sensa za makanisa yanaonesha ukristo una wafuasi wengi,na wamepandilizwa waislamu wakijuwa kuwa wao wapo wengi wata tawala kwa sheria,
ndugu zangu wakristo,kuwa kwako mkristu usikufanye watu wenye dini tofauti na wewe waishi kama unavopenda wewe na kanisa lako,
dini ya uislam ni mfumo kamili wa maisha ya mwanadamu,unatakiwa ukubaliane kuwa dini ya uislam haija kaa kama mulivyo fundishwa kanisani kuwa ikristo ni kanisani ukitoka nje basi,
tuacheni ushabiki tu,mimi ni mwislamu na sipendi kusikia mwislam ambaye hapendi maendeleo ya nchi yetu,lazima kila kundi,dini waone wanashiriki katika mchakato wa maendeleo,
hivi kuhesabiwa kidini kuta kupunguzia wewe nini??
Pole kwa kujikuta kwenye imani inayoona kila wakati inaonewa....
Na kila wakati inlazimisha mambo...
Pia haipendi maandiko yake yachunguzwe..
Hapo nilipo bold.... kama makanisa yanafanya sensa zao , kwanini nyie hamuwezi?
Kwanini mnataka msaidiwe na serikali?
Hivi hamna umoja kwenye nyumba zenu za ibada (misikiti) hamna network inayoweza kujua idadi yenu?
Kama kuna watu hawaendi misikitini hao achaneni nao, sio waislamu....
Hamna kinacho watisha watu hapa, ni kuwashangaa tu kwanini hawa watu hawawezi kujihesabu
wenyewe!!..wanajifananisha na walemavu wasiojiweza....!!! ujinga huu kwani walemavu wananyumba zao za ibada
wanazokutania?
....