Sheikh Ponda yuko sahihi

Sheikh Ponda yuko sahihi

mwaka 2005 wakat kikwete anagombea askof mmoja alisema kik ete ni chaguo la mungu hawakulalamika! mwaka juz bakwata wakasema docta slaa hawez kuwa rais kisa mkristo! uchaguz igunga bakwata wakatoa tamko kuwa waislam kutopigia kura chadema! mwaka jana vuguvugu la maandamano ya chadema waislam wakasewa serikali inaandamwa sababu rais ni muislamu...! wametoka hapo wameandamana bla kbali, sasa wanakuja na ajenda za ajira na sensa...? ivii wao tu wanamatizo? wakristo hawana?

Nundaz unaweza kuwa sahihi kabisa kuhusu matamko ya waislam uliyo yasema na uwenda kwa mtazamo wangu hayo madai au matamshi hayakuwa na mashiko kihivyo lakini kwa hili la shekh ponda ebu angalia ukweli uliyopo na utoe maoni kulingana na kauli yake ya kutambua idadi ya watu kwa kuzingatia mambo mabali mbali ikiwemo dini kwa ustawi wa nchi na maendeleo kwa watu wote bila kubaguana.
 
Alonena ni suala zuri sana. vipengele muhimu va kuzingatiwa katika sensa ni pamoja na Umri, Dini, jinsia, hali za watu (ulemavu n.k) kwa ajili ya mipango ya nchi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.

Ni vizuri kulijadili kwa kina kwa mustakabali bora wa nchi yenu katika mipango ya baadae.

barubaru, juzi nilisoma post yako juu ya bob makani nikagundua uko high profile....but i am worried you can use your position to become very lethal...

tulifundishwa darasani maana ya sensa........ni zoezi la kidemographia kwa ajili ya kupanga mipango ya maendeleo...

hili la ulemavu, jinsia...umri ,,,....e.tc.. sawa....this are potentia variables to consider......

je kuwa muislamu au mkristo au mpagani kunahusiana nini na mambo tunayotaka kuyafanyia projections.....eg matibabu, elimu, uzalishaji etc? kwani watu hawa hutumia ART tofauti? huvaa kondomu tofauti? husoma shule tofauti.....

je mara baada ya sensa nikiamua kuwa mkristo what are the effects?
 
Nadhani hii ni busara kwani muanisho huu wa kipengele cha dini ni muhimu hasa kukiwa na mipango inayohusu dini.. kama kujua tunahitaji kutenga ardhi kiasi gani kwa ajili ya misikiti/makanisa... au makaburi

Je kama sheikh Ponda atakuta waislamu ni asilimia 30 na wakristo 37 atasemaje? Hata hivyo kuna watu wengi wana majina ya kiislamu lakini walishaingia ukristo mioyoni mwao siku nyingi. wengine wana majina ya kikristo lakini tayari walishalambishwa vijisenti wakasilimu kama kigogo fulani. Wengine hawajui dini zao maana hawajaamua kufuata dini yoyote mbali na kuwa wazazi wao walioingiza katika dini zao (yaani dini za wazazi) lakini watoto hawajiamini wala hawazifuati. Haya mambo ya dini tuache makanisani na misikitini yashughulikiwe huko. Mfumo unaodaiwa ni wa kikristo kwanza ni sehemu ya historia na kwa upande mwingine kile waislamu wanachoita mfumo wa kikristo ni ule mfumo na tamaduni za ki magharibi. Katika ukweli wake sehemu kubwa ya kile wanachoita waislamu mfumo kristo ni upagani wa kimagahribi usio kuwa na uhusiano wowote na ukristo. Au hamjui kuwa Ulaya na Marekani sasa ukristo umeisha huko ni upagani tu unaendelea? Mfumo wa elimu ya magharibi hauna umekataa kabisa ukristo na wanaendeleza upagani tu na humanism. Tanzania sehemu kubwa ya uendeshaji wake naona ni upagani tu!! Ukristo haufanani na hali ya serkali ya Tanzania.
 
Hahahaaa mmesahau yule Mkurugenzi alivywajibu? Kuwa maendeleo ya nchi hayapimwi kwa kigezo cha dini wala kabila la mtu. sensa inatumika katika planning ya mambo muhimu ya kimaendeleo na sio dini, tusiwe so narrow minded, hata hivyo nawashauri mtumie utaratibu kama wa kwetu wa kuandikishana, kwa mfano mimi bahasha yangu ya usharika ni No.963, that means mimi ni mkristo wa 963 katika usharika wangu kwa hio kkupata idadi ya Wakristo wote katika CCT ambapo ndipo nasali, unachukua idadi ya waliojiandikisha mara idadi ya makanisa uliyonayo katika huo mkoa, wilaya au taifa. Na kwa taarifa yako hata tunapojiandikisha tunaandika kiasi unachotegenea kumtolea MUNGU kwa mwaka huo na hii husaidia kufahamu Kanisa litakusanya kiasi gani, litumie kiasi gani na libakishe kiasi gani, kwa mfano wakati namaliza Mlimani CCT-Chaplaincy kwa kipindi hichoo tulikua na milion mia mbili na kidogo ila sifahamu ndugu zangu pale msikitini walikua na bei gani, na sisi hatuna wafadhili pia.
Hakuna kitu...watakuambia hizo hela zinaenda kwa maskini kumbe wanazila wenyewe...unacheza na kuzaa watoto wengi bila kuwa na mipango ya maana ya maisha.
 
Naunga mkono hoja na Waislaam wote tususe sensa, kwani itakuwa nini? Amma waweke hicho kipengele halafu wakachezee kompyuta kama walivyofanya mitihani wa Waislaam amma sensa tuisusie.

waislamu wote wasusie au unamaanisha waislamu wa gerezani?
 
Step II.

Bado naendelea kumsaidia Sheikh Ponda.

Tanzania mikoa ya kanda ya ziwa ndiyo yenye idadi kubwa ya watu Tanzania ikufuatiwa na mikoa ya kanda ya kaskazini.Ukanda wa Pwani ukiondoa [Dar es Salaam] ni mikoa yenye idadi ndogo ya watu.

aliokuambia kanda ya ziwa wote ni wagala ni nani? Kumbuka huko kuna watu wanaofuata dini za asili kwa idadi kubwa tu.
 
juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO. alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo. akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania. "SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.HOJA YANGUNdugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!!!!!!naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Aliyekwambia waislamu wanabaguliwa kwenye ajira ni nani? mwajiri mkuu, mheshimiwa jakaya ni mkristo?je makamu wake, ni mkristo? waziri wa fedha aliyeshindwa kazi, mkullo, Zakhia, hao nao ni wakristo?mnajimu mkuu wa jeshi, bwana shimbo ni mkristo? said mwema je? Mecky sadick?, Hussen Mwinyi?n.k .n.k......jamani acheni uchokonozi, kwa nini tusikubali ajira na mgawanyo wa raslimali uendane na uwezo na uhitaji badala ya dini? hivi uislamu lazima utenganishwe na ukristo kwa kiwango hicho?....kama hatuwezi kujifunza kwa wenzetu kama nigeria wanakobaguana kwa mfumo wa dini na kuishia kuwindana kama wanyama mwitu basi, mnaoleta chokochoko hizo mtajionea wenyewe kitakachofuata ama sivyo watoto wenu na wajukuu zenu watalionja joto la utengano mnaloanzisha.
 
juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO. alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo. akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania. "SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.HOJA YANGUNdugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!!!!!!naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Unajua huyu Mponada anashindwa kufikiria... Kwa Utamaduni wa Kiislamu mtu moja ambaye hata uhaki wa kula vizuri hana ana wake watatu na watoto kumi na tano au zaidi... Badala yake watoto wpte wanaishia kuwa Vibaka tu badala ya kusoma..

Sasa katika mazingira kama haya utafanyaje tuseme unataka kumwajiri mwalimu wa Primary???? Vigezo ni Shule sasa wao shule hawajaenda itakuwaje???? Unajua kutokusoma siyo kilema ni Uzembe ambao hauondoki kwa kuseama waislamu wanabaguliwa.

Mfano mimi niko jirani na Mpemba fulani... Yeye ana watoto kama saba hivi lakini wote wameishia la nne kwa kuacha shule bila sababu kesho wakiwa mashehe ndiyo wanayaongea haya...

Narudia tena Kuna makabila ambayo yamejitahidi sana kwenda shule Mfano wahaya, Wachaga etc ni kutokana hali ngumu na utamaduni waliojengewa... Nasema hivi kwa sababu mimi shule ya msingi niliyosoma miaka ya tisini mwanzoni Waalimu karibu wote walikuwa Wachaga, sasa utasema kwa nini wachaga..

Mimi nafikiri Waislamu waboreshe mambo ya Msingi kama kuzaa watoto unaoweza kuwasomesha na kuwa tunza na si kuwazaa alafu unawatelekeza hawatoki Mkuu

Elimu ni Funguo wa maisha.
 
huyu shekhe kuna wakati aliwahi kusema anataka waislam watibiwe na waislam na waislam wanawake watibiwe na madaktari wa kike bila kujua idadi ya madaktari kwa uwiano wa dini na idadi ya madaktari wa kike. pia hakujua idadi ya hospitali zinazomilikiwa na wakristo na zile zinazomilikiwa na waislam. Mi nafikiri si mzima sana kiakili.
 
Mhhhh...huyu shehe Ponda noma, yaani hata chabo ya daktari kafiri anaogopa? akawatibu yeye akina mama wa kiislam kama anaweza...!
 
Mimi namsapoti huyu bwana kwenye kipengele cha dini, nisichokubaliana nacho toka kwake ni motive ya yeye kufany sensa, eti ajira ziwe na uwiano. Mimi sitaajiri mtu kwa sababu tu ni wa dini fulani hata kama hawezi kazi... Hii itaua taifa kabisa kwani dini ndizo zitaongoza sehemu nyeti za profession badala ya taaluuma na competence
 
Sheikh Ponda amejipa kazi ya kuenesha shari nchi hii. Pengine ni kwa sababu ya tatizo la ajira, lakini sioni ni kwa vipi waislam watakaa chini na kumsikiliza huyu semi-illiterate!<BR><BR>Week chache zilizopita alikuwa anapiga debe kuwaunga UAMSHO, sasa makanisha yamechomwa kakimbilia kwenye sensa! UAMSHO kawaacha kwenye mataa! Ni aina ya ma-sheikh kama hawa wanaoudhalilisha uislam. Hana la maana alilofanyia hii nchi zaidi ya kugawa watu.

Ponda ni kinyago kilaza wa nguvu anaongozwa nguvu za shetwani .Shekhe wa tumbo na fitina hana uislam wowote .Waislam wenye ufinyu wa kuelewa Duniani kote ndiyo zao kila siku kuzusha jambo .Wamesha zoeleka ila wakija hovyo mnawachapa na kuwafungia magerezani hakuna zaidi .
 
juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO. alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo. akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania. "SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.HOJA YANGUNdugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!!!!!!naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Waswahili bana, yaani dini za wakoloni zimewatawala sana. Watu watauana tu kwa sababu ya kuwatetea Mungu Allah, Mungu wa Israel, Mungu Papa, Mungu Anglican...ilhali hata hivyo vitabu vya Mungu hao haviwataji kabisa waswahili hawa!
 
MIMI nadhani siyo lazima wasubiri serikali iwafanyie sensa,watumie rasilimali zao wafanye sensa yao kujua waislamu wako wangapi lakini siyo kigezo cha wao kupewa kazi.muhimu ni kusoma na kuwa na sifa sitahiki.SI DHANI KAMA KUNA MWISLAMU ALIYE SOMA AKANYIMWA KAZI KWASABABU YA UISLAMU WAKE.
 
Alonena ni suala zuri sana. vipengele muhimu va kuzingatiwa katika sensa ni pamoja na Umri, Dini, jinsia, hali za watu (ulemavu n.k) kwa ajili ya mipango ya nchi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.

Ni vizuri kulijadili kwa kina kwa mustakabali bora wa nchi yenu katika mipango ya baadae.
ukishaweka kipengele cha dini unanufaika vipi,au taifa linanufaika vipi?mmeshiba amani na kuvimbiwa?
 
Step II.

Bado naendelea kumsaidia Sheikh Ponda.

Tanzania mikoa ya kanda ya ziwa ndiyo yenye idadi kubwa ya watu Tanzania ikufuatiwa na mikoa ya kanda ya kaskazini.Ukanda wa Pwani ukiondoa [Dar es Salaam] ni mikoa yenye idadi ndogo ya watu.

STEP X:

Hebu ongeza hapo na Iringa, Njombe, Songea, Mbeya, Rukwa, na Mpanda.

Hivyo, wakristo wengi (kwa maana ya kuwazidi wengine kwa idadi yoyote) most likely wako mikoa ifuatayo:
Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mara, Kagera, Arusha, Kilimanjaro, Iringa, Njombe, Ruvuma, Mbeya, Rukwa, na Mpanda. Kwa pamoja mikoa hii ina over 60% population ya nchi.

Mikoa hii angalau idadi inaweza kuwa sawa:
Kigoma, Singida, Dodoma, Dar es Salaam, Tabora, na Morogoro.

Mikoa hii waislamu most likely ni wengi:
Tanga, Pwani, Lindi, Mtwara, na Zanzibar (ukitaka chukua hata Dar es Salaam ya wahamiaji).

Hivyo basi, kwa kuwa Muungano utavunjika soon waislamu Tanganyika wata-dominate Tanga, Lindi, na Mtwara halafu pia Bungeni tutakuwa automatically tumepungaza angalau wabunge waislamu kama 60 hivi ambao wanatoka Znz. Mimi huwa nawashangaa wanaolaumu Mwl. eti kwa kuudhoofisha Uislamu kupitia Muungano!
 
Back
Top Bottom