Sheikh Ponda yuko sahihi

Sheikh Ponda yuko sahihi

ha haa haaa nimecheka hizi takwimu kwa taarifa yako asilimia kubwa ya Wasukuma kanda ya ziwa Shinyanga, Mwanza, na Mara, hawana dini..hata Iringa Wakinga hawana dini.

acha kupotosha jukwaa aliekwambia wakinga hawana dini nani.? Labda ungesema makete waislam hawapo ungeeleweka maana makete nzima msikiti upo mmoja tu wilayani nao kwaajili ya wafanyakazi ambao ni wageni.! Pia makete ukisema wewe muislam wanakushangaa maana ni kitu kigeni kwao.!
 
Tatizo ni vipaumbele, tunaacha kuwaza ya kujenga uchumi na elimu tunakalia mambo ya nani zaidi, itasaidia nini? Tukumbuke:YOUR RELIGION DOES NOT MAKE YOU A BETTER PERSON;
YOUR BEHAVIOUR DOES
 
Kama hukunielewa ktk post ya hapo juu,sina sababu ya kuendelea kujibishana na wewe!


[TD="width: 5%"] [/TD]
[TD="width: 93%"]
Welcoming Gay Friendly Churches in Africa


[TD="width: 82"] [/TD]
[TD="width: 272"] Tanzania [/TD]
[TD="width: 173"] 1 church [/TD]
[TD="width: 202"] [/TD]

[TD="width: 82"] [/TD]
[TD="width: 201"] [/TD]
[TD="width: 173"] [/TD]
[TD="width: 202"] [/TD]

[TD="width: 82"] [/TD]
[TD="width: 272"] Pentecostal Evangelistic Church [/TD]
[TD="width: 173"] Mbeya [/TD]
[TD="width: 202"] Non-denominational [/TD]


[/TD]
 
katika imani ya kiislam imebainisha wazi kuwa tofauti ya muislam na yule asiyekuwa muislam ni kuswali mara tano kwa siku......kwa hiyo kama wewe huswali basi wewe ujue siyo muislam....sasa kama tuna imani ya kweli ya dini sijui kama hii sensa itasaidia vipi kwa waislam wao binafsi nadhani sensa nzuri ya waislam wa kweli ifanyike misikitini japo nadhani haitakuwa sahihi kwani siyo lazima sana kuswali misikitini

Mi sidhani kama taabu ni dini ya kiislamu bali kila dini ina watu waliolewa dini hadi kuwa kama hamnazo. Mkikumbuka miaka michache iliyopita mtawakumbuka wakristo waliotaka kusafiri sijui kwenda kuhubiri nchi gani za nje bila kuwa na pasipoti wala viza wakajaa uwanja wa JKN Dar es Salaam kwa siku kadhaa bila kula wakiamini wataenda huko. Hawa ni watu wenye misimamo mikali na kwa hivyo wanaishia kuwa wakatili maana tayari tunawajua akina Kibwetere wa Uganda na jinsi alivyowateketeza wenzake (hawa ni wakristo jamani)!!! Katika dini ya kiislamu nako wamo akina sheikh Ponda, akina Dr. Njozi na wengineo kama al Shabaab, al Qaeda, n.k wote hawa ni kulewa wasiyoyaamini maana yamekuwa magumu kuyajua kwa hiyo wanaamua kuyatapika kwa wengine.

Ushauri wangu kwa mtanzania mwenzangu yeyote anayeelewa ajue dini ni jambo jema, lakini kwa hakika kwetu sote dini ni kama ajali ya mazingira tu maana leo mchaga wa rombo angelizaliwa Pemba usishangae angekuwa nani na mhaya wa Rutabo angezaliwa Rufiji, usishangae angekuwa nani. Hali kadhalika Mpembwa wa Chakechake angezaliwa Maua angekuwa nani Mola tu anajua. Jamani ajali hizi za kijiografia na watu waliotuletea dini hizi za sehemu moja (wote ni Mashariki ya kati) kama wao walikuwa na ugomvi tangu kuumbwa kwao wasijetuletea mambo haya huku. Kama wewe ni muumini wa dini yoyote kati ya hizi na unaona usipogombana na mwenzako wa dini nyingine unakosa mbingu au ahera, afadhali ubakie kama Kingunge na Baregu au Lwaitama unaweza kufika huko bila kumwaga damu ya mtu au kumchukia mtu. USHAURI WA BUUUUUUREEE KWA WENYE MASIKIO.
 
Nadhani hii ni busara kwani muanisho huu wa kipengele cha dini ni muhimu hasa kukiwa na mipango inayohusu dini.. kama kujua tunahitaji kutenga ardhi kiasi gani kwa ajili ya misikiti/makanisa... au makaburi

Unataka kutuambia kuwa kama waislam watakuwa wengi itabidi watengewe ardhi kubwa kwa ajili ya makaburi kwa kuwa waislam watakuwa wanakufa sana au?!
 
Alonena ni suala zuri sana. vipengele muhimu va kuzingatiwa katika sensa ni pamoja na Umri, Dini, jinsia, hali za watu (ulemavu n.k) kwa ajili ya mipango ya nchi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.

Ni vizuri kulijadili kwa kina kwa mustakabali bora wa nchi yenu katika mipango ya baadae.

Hii ni nchi yetu na haikuhusu na wala hatuhitaji ushauri wako, shwain mkubwa wewe!
 
Jasusi, wewe ni raia wa Marekani? Umeishaukana uraia wa Tanzania?
Hapana. Census si lazima uwe raia. Wanataka kujua idadi ya watu walioko nchini wala hawaulizi kama una green card au wewe ni illegal immigrant.
 
swala la dini kuwepo sio tatizo lakini tatizo ni kwanini lisipo wekwa msusie? think twice ndugu zangu waislamu? tatizo lenu mnamezeshwa sumu sana za chuki mkiwa misikitini thus why mkija kwenye jamii mnakuwa kama mbogo aliye jeruhiwa vile! mbona hamkususia sensa zilizopita? au leo ndo mnazinduka? haya wakisha wawekea mtakuja na sela ya usawa katika ajira au kama nyie ndo wengi mtataka kuzidi kwenye swala la ajira .....nendeni shule ndugu zangu iwakombowe ......acheni kudai haki kama wanawake vile
 
Hakuna maana sensa ya dini,huku ni kufilisika kimawazo,kimtazamo n.k sensa hii wanayodai itazidi kuwaumiza roho kwasabau kuna wimbi kubwa zaidi la watu wanatoka uislam na kuingia ukristo kwasababu hiyo idadi ya wakristo ni kubwa,watu wamechoka kutumikishwa na kuteswa na majini na hivyo wanatafuta pumziko la kweli lenye uhuru,amani,furaha ambalo ni Yesu kristo pekee......


Itakapojulikana idadi ya waislam ni ndogo itaongeza chuki na kuwasha hasira mara mbili na kuwafanya wazidi kuchoma makanisa zaidi na zaidi......Amani kivuli tuliyonayo itapotea kabisa baada ya hapo tutaanza kutafutana mchawi nani...


Ombi langu kwa Rais awe na msimamo mkali wa kulinda na kutunza amani hii,Amani itakapovunjika yeye anahusika na hatuweza kukubali tutakufa nae.
Aweke mbali Uislam wake na apinge vikali haraka matakwa haya waislam wenzake kwa maslahi ya Taifa hili. Kuchelewa kuongea kama mgomo ule madktari....kwa hili madhara yake makubwa sana.
..............................NAWASILISHA JAMVINI...........................
 
upo juu. ngoja niulize, hivi: boko haramu, al kaida, al shababu, taleban na wale maharamia wa mali c ndo moja wapo wa ile dini yetu? dini zngine bwana. huu mjadala mods wataufunga tu, ila poleni mlio ktk dini hiyo isiyotaka watu waishi.
 
kwa haraka haraka tu, we mwenyewe hata mtoto wa darasa la kwanza haitaji kuumiza akili kutambua ya kua una elements za kibaguzi. HUSITAZAME KIBANZI KILICHO KATIKA MBONI YA JICHO LA MWENZAKO WAKATI KWAKO UNA BOLITI...!
 
serikali yenyewe inababaishwa na madini yenu ya kujitungia, wanalamba miguu viongozi wa dini hata kama hawana la maana. tatizo kubwa la nchi hii ni ignorance. ignorance inaabudiwa badala ya kupingwa , religious bigotry ni matokeo ya ignorance. tatizo it is a vicious cycle,kutokana na incompetency, serikali legelege inalamba miguu viongozi wa dini kwa kuogopa kutoswa na kupoteza popularity, viongozi wa dini wenyewe vichwa-maji and are full of shit they are viongozi for all wrong reasons, common wananchi nao ni bendera fuata upepo, wanajiona wana wajibu kwa miungu na mitume wa kufikirika kuliko jirani yake anayegawana naye umaskini ktk daily basis.nani wa kuvunja cycle?
 
Nachukia sana ubaguzi wa kidini.

I would love to know the reason behind our Muslim folks wanting to know the percentage of Muslim in Tanzania.

Basi wasubiri Baada ya sensa ya taifa, Then na wao wafanye ya kwao kupitia misikiiti. its all that simple
 
Nduguzangu waislamu kulalamika haita Saidia Tupeleke watoto shule , kuowa wanawake wengi na kupata watoto wengi si kigezo chakuona waislamu na wengi, na mmauwezo wakuwasomesha? Hau ndo yanakua majizi nakunyonga watu usiku na ndo mana waislamu mnaongoza kwa idadi MAGEREZANI
 
Back
Top Bottom