ALEX PETER
Senior Member
- Jan 17, 2012
- 117
- 23
nafikiri tufike mahali tupime ukali wa maneno au uwezo wa maneno kwa nadharia tatu moja je kuna sababu gani ambayo ipo nyuma ya hii kauli, maana kila jambo lina sababu hakuna jambo linaloweza kutokea bila sababu, mbili je ni malengo yapi yamezamiliwa katika kauli hiyo na je kama yasipotimizwa ni ninu itakuwa hatima ya hii kauli kama siyo uchochezi, na je hii kauli ina madhara gani kwetu kama taifa.
je wazo zuri ni lipi tugawe mgawanyo wa kazi kutokana na dini na matabaka au tugawe mgawanyo kazi kutokana na taaluma na ujuzi, je shekh ponda amesahau kama serikali haina dini? je anapodai fomu za sensa ziwe na alama au ishara ambayo muislam tajaza dini yake haoni kama tukifanya tutalazimisha na wakristo na wenyewe wadai hivohivo hali kadharika na wale wasiyo na dini na wenyewe hivo na fikiri siyo kila kiwazwacho moyoni lazima kisemwe mdomononi, tuache majungu na propaganda zisizo na msingi tujenge taifa letu