Sheikh Ponda yuko sahihi

Sheikh Ponda yuko sahihi

Maelezo yako yamejaa chuki mpaka unashindwa kufikiri vizuri na ukaishia kujikanganya. Unasema Waislam hawakusoma na wanaishia kunywa kahawa vijiweni lakini ukakiri kuwa Rais wa Nchi na Makamu wake ni waislamu, je una maana hao hawakuenda shule? Ni product ya vijiwe vya kahawa? Au hujui kuwa Dr Gharib Bilal ni Engineer wa Nuclear Energy pekee hapa nchini ( one of the most cumbersome Mathematical subject in existence) ila serkali inashindwa kumtumia kutokana na mfumo mbovu uliopo. Au una maana Judge Chande hana elimu? Kina Proffesor Lipumba na Maprofessa na Ma Drs wote wa Kiislamu waliotapakaa nchi nzima hawakusoma bali ni watu wa Madrassa na Vijiwe vya kahawa? Unasema Waislamu wanajilipua ovyo duniani, hivi ina maana wewe hukusoma na wala hujui historia ya watu wanaojilipua duniani au ni chuki zako dhidi ya Uislamu ndio zimekutia upofu? Tulia nikupe darasa, Wenye Historia kubwa ya kujilipua duniani ni Wajapani, wanajilipua kwa staili ya KAMIKAZE (Kamikaze Bombers) wanajilipua ili kuua watu wengi zaidi na kuteketeza mali au zana kubwa zaidi, hao wako kwenye orodha ya mashujaa wa nchi hiyo mpaka leo, na Japan ikivamiwa tena kivita mtawasikia tena, Kisha kuna HARAKIRI, hawa hujipasua matumbo hadi kufa kwa kutumia Upanga wa Samurai, ikiwa ni kuonesha kutubu kwa kushindwa majukumu au anaposhindwa kujiokoa kwa maadui. Je hao ni Waislamu? Hapa Tz kuna Waislamu wangapi waliojilipua kwa njia hiyo? Hivi wewe na akili zako, na wenzako wenye fikra Kama zako mnaona vijiwe vya kahawa ndio tatizo, ila Mabaa ya Pombe na wanaokunywa pombe mpaka wakajinyea hao ndio barabara? Mbona Mwl Nyerere alipenda sana kucheza bao na wazee wenzake kwenye hivyo vijiwe vya Kahawa? Alikuwa mpumbavu?

hongera<MGUNGA MIBA: wasipoelewa tena hawa walaf wa NYAMAFU cjui wataelewa lini!
 
Maelezo yako yamejaa chuki mpaka unashindwa kufikiri vizuri na ukaishia kujikanganya. Unasema Waislam hawakusoma na wanaishia kunywa kahawa vijiweni lakini ukakiri kuwa Rais wa Nchi na Makamu wake ni waislamu, je una maana hao hawakuenda shule? Ni product ya vijiwe vya kahawa? Au hujui kuwa Dr Gharib Bilal ni Engineer wa Nuclear Energy pekee hapa nchini ( one of the most cumbersome Mathematical subject in existence) ila serkali inashindwa kumtumia kutokana na mfumo mbovu uliopo. Au una maana Judge Chande hana elimu? Kina Proffesor Lipumba na Maprofessa na Ma Drs wote wa Kiislamu waliotapakaa nchi nzima hawakusoma bali ni watu wa Madrassa na Vijiwe vya kahawa? Unasema Waislamu wanajilipua ovyo duniani, hivi ina maana wewe hukusoma na wala hujui historia ya watu wanaojilipua duniani au ni chuki zako dhidi ya Uislamu ndio zimekutia upofu? Tulia nikupe darasa, Wenye Historia kubwa ya kujilipua duniani ni Wajapani, wanajilipua kwa staili ya KAMIKAZE (Kamikaze Bombers) wanajilipua ili kuua watu wengi zaidi na kuteketeza mali au zana kubwa zaidi, hao wako kwenye orodha ya mashujaa wa nchi hiyo mpaka leo, na Japan ikivamiwa tena kivita mtawasikia tena, Kisha kuna HARAKIRI, hawa hujipasua matumbo hadi kufa kwa kutumia Upanga wa Samurai, ikiwa ni kuonesha kutubu kwa kushindwa majukumu au anaposhindwa kujiokoa kwa maadui. Je hao ni Waislamu? Hapa Tz kuna Waislamu wangapi waliojilipua kwa njia hiyo? Hivi wewe na akili zako, na wenzako wenye fikra Kama zako mnaona vijiwe vya kahawa ndio tatizo, ila Mabaa ya Pombe na wanaokunywa pombe mpaka wakajinyea hao ndio barabara? Mbona Mwl Nyerere alipenda sana kucheza bao na wazee wenzake kwenye hivyo vijiwe vya Kahawa? Alikuwa mpumbavu?

Nikweli kwamba viongozi wengi awamu hii ni Waislam na ndo maana sasa hivi mfumuko wa bei ni mkubwa sana. Inflation rate imepanda kutoka single digit of 5% to 22%, Exchange Rate hasa ya USD imeongezeka kutoka Tzs 850.00 kwa Dollar 1 hadi Tzs 1,700.00 kwa Dollar 1. Ombwe la Uongozi ni 100% na hakuna mwelekeo wa wowote wa hari hii kubadirika.

Kama kweli ni Wasomi kwanini mnashindwa kujijua mpo wangapi? Mmepewa Chuo Kikuu cha Tanesco Morogoro mmeshindwa kuwaajili walimu (lecturers), shule zenu zote zimegeuka vyumba vya maduka nenda kaangalie Kariakoo na Sahurimoyo wanakouza used autospares. Kiwango cha elimu katika shule zenu za seminari ni cha chini sana hakuna mfano. Nadhani hata wewe utakubaliana na mimi kwenye hilo. Je unajua ni kwanini?

Naomba nikukumbushe kuwa Wadau wakubwa wa bars, guest houses, nyama choma, biashara ya kujiuza (machangudoa) huwa inapungua wakati wa mfungo wa ramadhani. Je unajua ni kwanini? Wateja na wadau wakubwa ni waislam. Kama huamini naomba ufanye utafiti kuanzia mfungo huu unaoanza Keshokutwa. Bar na Guest nyingi sana zinategemea kupunguza mauzo yao kuanzia keshokutwa.

Kwakifupi hata ile biashara ya kitimoto itashuka sana katika kipindi cha mwezi wa mfungo wa ramadhani. Funguka mkuu wangu.
 
Chama mnacho kipenda chama mnachokipigia kura, chama mnachokitetea kinapofanya mambo ya hovyo, chama kinachowatumia kufanikisha ushindi wake, chama kinachowaacha muendelee kuwa wajinga ili kiwatumie vizuri, chama kilichoweka kwenye ilani kuwa kitawapa kadhi na hakikuwapa CCM NDIYE ADUI YENU KAMA HAMJUI, NDICHO TENA KINAKATAA KUWEKA KIPENGERE HICHO CHA DINI. sisi tunasema hata wangeweka ukabila na ni kanisa gani, mkoa gani, unawake wangapi, unautajiri wa kiwango gani haina shida? Shida iko kwenu mlioacha kufanya mambo ya msingi kama kusoma na kusomesha mnahangaika na mambo yasiyo wasaidia, Mbona sioni mkihoji watoto wenu wako wangapi kwenye shule nzuri, mnahangaika kuvuna wakati wakulima na kupanda mnacheza MDUNDIKO na BAO! Ninyi ni watu wa AJABU kabisa
 
Hivi sensa ya nini kama kuna vitamburisho vya uraia? nadhani kama kila mtanzania akiwa na kitamburusho basi idadi ya vitamburisho ndiyo idadi ya watanzania.....watu wanapewa ulaji wa sensa ya bure tu..umasikini wetu huu hatuwezi muda gharama za sensa na vitamburisho.
 
ntabadili dini niitwe MAHESABWINAH ili ajira zikitoka nusu kwa nusu nizirambe
 
Jina peke yake linamtambulisha huyu ni mkristo na yule ni muislamu na ikitokea tofauti katika hili basi na idadi ya wale wanaosilimu au kuacha uislamu kuingia ukiristo au ukiristo kuingia uislamu orodha ipatikane ili ku-up date taarifa zao kitu ambacho ni vigumu sana.Ni busara kwa ndugu zetu waislamu hili lisiwe tatizo bali ni changamoto kwao kwani maisha si ajira pekee au nyazifa bali ni utii kwa mwenyezi mungu mwingi wa rehema na haya mengine ni majariwa yake allah-subhana wataalah.ASANTE.
 
juzi sheikh ponda issa ambaye ni katibu wa jumuiya ya kutetea haki za waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.alisema kuwa nchi hii siyo ya kikristo lakini inatawaliwa na mfumo kristo.

Alisema kutokana na mazoea, waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. Ofisi na idara za serikali zinaongozwa na wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. Alitoa mfano wa tra, necta, wizara ya eimu, wizara ya ujenzi, afya, mahakama nk........... Kwa mujibu wa sheikh ponda, wastani wa ajira ni karibu wakristo 77% na waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.

Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! Kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa sheihk ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa tanzania.

"siyo sahihi watu wenye idadi hii kupuuzwa katika uwiano wa ajira serikalini", alisema sheikh ponda.alitoa mifano wa nchi karibia zote za ulaya, marekani, asia pamoja na afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza ponda. "mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama ponda.

Hoja yangu ndugu znaguni watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. Kama waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? Au utakua udini? Au uchochezi? Au uvunjifu wa amani? Kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? Je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? Tubadilike!!!

Naomba kuwasilisha!

Hatuna sababu ya kuiga kila kitu toka mataifa ya nje toka uhuru hatujafanya sensa na kipengele cha dini. Kuhusu kubaguliwa ni ujinga wa waislamu wenyewe mfano wamepewa jengo la chuo kikuu burena kafiri Mkapa kwa kuwahurumia na ujinga wao pale moro leo mwaka wa ngapi wanalumbana tu wakati wakati wakristo st.augustin, tumaini, na st. John na vingine kama teophilo kisanji wanaongeza campus kila mkoa wao kazi kulaumu tu, kila siku wanaonewa wanaonewa mara Necta ivunjwe na mengineyo, sisi tunasonga mbele wao wanadai mahakama ya kadhi, tofauti ya elimu katika ya waislamu na wakristo ni kama kuwashindanisha Wanyamwezi kwa elimu na mchagga, mhaya na Mnyakyusa, kama itakuja kuwa balanced waislamu na wakristo katika elimu basi baada ya karne kadhaa, hivyohivyo mchagga yuko kila mahali bila kujali dini yake!! utasema naye kapendelewa na nani wakati anauzika na kununulika kwa elimu yake? Endeleeni tu baada mahakama ya kadhi mtataka tena na wakristo wasichinje kama nilivyosikia hadithi hiyo katika eneo fulani hapa tz, Ila mkija kwangu juu ya kunizuia kuchinja hakikisheni mmeandika urithi kwanza kabla ya kunitokea na kunipangia sheria zenu nyumbani kwangu. Sensa ya dini hufanyika kwa wenye dini husika kutaka kujua idadi yao ili wakipanga malengo ya dini yao hasa kwenye suala la sadaka wajue kwa idadi yao wakichangishana elfu tanotano wanaweza kufikia lengo waliloweka kama kununua majamvi msikitini, Madufu,Majuzuu kuanzisha madrasa na mengineyo mengi tu. Sasa sheikh Ponda anataka kutuambia tukijua idadi ya waislamu na wakristo na sisi tusiokuwa na dini itaisaidia nini Tanzania kujua idadi hiyo? Vitu vingine ni vya kijinga kabisa, Sheikh angeanzisha mchango wa kujenga chuo kikuu kingine kwa umaarufu wake pesa ingetimia kwa muda mfupi tu na mimi pamoja na kuwa ni kafiri ningemchangia, lakini badala yake anapagawa kutaka kuanzisha fujo na utengano tu hapa Tz kwa taarifa yake na wapambe wake sensa itafanyika na hakuna atayegomea sensa kwani si waislamu wote wanadanganyika kwa malengo ya viongozi wachovu kama Ponda.
 
Mipango gani? kama si kutafuta vurugu na vyeo bila shule. Nendeni mkasome kwanza allah
 
ahsante mwongozo kwa taarifa hii.
Nakufagilia sheikh ponda, hayo uliyosema ni kweli tupu. Nafurahi pia kusikia mkutano wa jana wa sensa dodoma waislamu wote pamoja na bakwata wamekubaliana kususia sensa ya mwaka august 2012 kama kipendele cha dini hakitakuwepo kwenye fomu ya sensa. Cha kushangaza zaidi maaskofu wao wanataka kipengele hicho kisiwepo ati kitahatarisha amani. Amani itaharibika vipi ikiwa tutajua idadi ya waislamu wangapi na wakristo wangapi? Maaskofu walishindwa kujibu swali hili!!!!!! What is behind the scene maaskofu??? Kuna jambo gani limejificha hapa mpaka hamtaki tujue idadi yetu kutokana na dini zetu?!!

Ndiyo maana tunawambia mwende shule kwanza.
 
Barubaru,
Kwani namba ya waamini wa dini yako, hata kama ni kubwa ina faida gani kwa uwepo na ustawi wa Taifa hili? Kama namba ni tija, waafrika tulivyo, tunaweza kuanzisha mashindano ya kuzaana bila utaratibu, bila kujua kwamba anayeongoza dunia ya leo sio kwamba ana namba kubwa, la hasha!!! Ana elimu, uwezo na ujuzi mkubwa.
Ndio maana waisrael kwa idadi ni wadogo lakini pale walipo waliwahi kupigana na mataifa karibu yote yaliowazunguka kwa wakati mmoja na kuwashinda. It was not by chance....it was by design and intelligence to come with victory. So hoja hapa kwetu sisi wengine ni kuhakikisha generations zetu zina aim higher kwa kutafuta mambo ya msingi yatakayotusukuma huko. Sio haya mambo ya kujua nani ni dini gani! So what?
Nahisi hujamuelewa mtoa hoja, sheikh ponda anasema keki ya serikali imekuwa ikipelekwa kwa dini moja sana kwa kusingizia kuwa wako wengi na ndo wamesoma, je ni kweli dini nyingine hawana wasomi na niwachache? basi tuweke kipengele cha dini tuujue ukweli, kwani ukiniuliza mm dini gani hapo aman itavunjikaje?
 
tatizo la waislamu nadiriki kuwaita wengi ni vilaza
kutwa kulalamika. niwaulize mkuu wa nchi ni nani, makamu wake, jaji mkuu???wakristo hao?
wanataka wapewe mgawanyo sawa wa madaraka nani aliwaambia nchi hii ina dini? wanataka kutupeleka wapi?
wao wanakaa vijiweni na kunywa kahawa na walikataa kusoma shule za wakristo eti ni makafiri sasa wanataka wapewe vyeo bila kusoma? wamuulize JK alisoma shule ya watu gani? angesoma madrasa na kuishia kunywa gahawa leo angekuwa rais?
suala la ukabila na udini Nyerere alilikataa siku nyingi sana


pili wakubali kwa Tanzania asilimaia 62 ni wakristo, 35 ni waislamu na 3% ni watu wa dini zingine. kwa hivo tukiamua leo wakristo hata kupiga kura bado tunaweza kuwapita kwa mengi na pia idadi kubwa ya wasomi ni wakristo, nakumbuka nikiwa chuo kati ya wanafunzi 240 darasani 40 tu ndi walikuwa waislamu. acheni kelele pelekeni wanenus shule.
sijaona mantini ya wao kulalamika,
katika kazi hatuajiriwi kwa kigezo cha udini wala ukabila bali ni elimu na ujuzi wako.
Tunataka sensa ndo ituambie sio wewe kilaza na takwimu zako za uchochoroni?
 
ili din za kuja na mali zna waarbu waafrca...udini wa nn jaman...mfano waarabu au wazungu wacngekuja ingekuwaje...2sibaguane kwa itikadi ya aina yoyote.. Waislamn dizain mnapenda kujbagua..whl rahc na serekal yote ya zanzbr ni waislam...
 
Back
Top Bottom