Sheikh Ponda yuko sahihi

Sheikh Ponda yuko sahihi

serikali yenyewe inababaishwa na madini yenu ya kujitungia, wanalamba miguu viongozi wa dini hata kama hawana la maana. tatizo kubwa la nchi hii ni ignorance. ignorance inaabudiwa badala ya kupingwa , religious bigotry ni matokeo ya ignorance. tatizo it is a vicious cycle,kutokana na incompetency, serikali legelege inalamba miguu viongozi wa dini kwa kuogopa kutoswa na kupoteza popularity, viongozi wa dini wenyewe vichwa-maji and are full of shit they are viongozi for all wrong reasons, common wananchi nao ni bendera fuata upepo, wanajiona wana wajibu kwa miungu na mitume wa kufikirika kuliko jirani yake anayegawana naye umaskini ktk daily basis.nani wa kuvunja cycle?

we have a mediocre president, and far less senior government official who would rather lick their boss's arse than think of the country
 
kuna tatizo kubwa, nafikiri kama anataka kujua idadi ya waumini sehemu sahihi ya kuwahesabu ni kwenye nyumba za ibada! sababu dini ni imani na si majina wala asili! afanye kama wafanyavyo wa dini nyingine wajihesabu vigangon, maana kuna wengine twakesha nao kwenye vitimoto bado wawaita ni waumin? au una ajenda nyingine?
 
Kaazi kweli kweli,tabu yao wanataka kuleta kama ya rwanda sasa waendelee na ndipo watakapojua kwa nini wapalestine hawahemi kwa israel
 
nasoma hapa huu uzi kwa macho 3, maana hapa jf ndo unaeza ukapata representative ya 'thinkers' wa Tz. huu uharo unamuvusishwa hapa si wa kuupuuzia. sielewi JK anasubiri nini ku-act, na inaonekana Bakwata, ambayo inadaiwa inaendeshwa na serikali (kwa kodi yangu mie mla kitimoto na liquor, of coz) nayo imeingia kwene huu u.pupu. Sasa kama serikali haichukui hatua sasa ni bora hiyo pesa ya sensa ikafanyie mambo mengine, kuliko kuiunguza hiyo hela kwene half-baked half-assed sensa. what a sad country indeed.
 
we have a mediocre president, and far less senior government official who would rather lick their boss's arse than think of the country
m.kwere kaa atashindwa ku-address hiyo inshu sasa ni bora hayo mabilioni yasiendelee kuwa allocated huko kwa sensa maana tuko na shida nyingi sana zinazohitaji pesa za haraka.nchi imeshamshinda hii.
 
Barubaru,
Kwani namba ya waamini wa dini yako, hata kama ni kubwa ina faida gani kwa uwepo na ustawi wa Taifa hili? Kama namba ni tija, waafrika tulivyo, tunaweza kuanzisha mashindano ya kuzaana bila utaratibu, bila kujua kwamba anayeongoza dunia ya leo sio kwamba ana namba kubwa, la hasha!!! Ana elimu, uwezo na ujuzi mkubwa.
Ndio maana waisrael kwa idadi ni wadogo lakini pale walipo waliwahi kupigana na mataifa karibu yote yaliowazunguka kwa wakati mmoja na kuwashinda. It was not by chance....it was by design and intelligence to come with victory. So hoja hapa kwetu sisi wengine ni kuhakikisha generations zetu zina aim higher kwa kutafuta mambo ya msingi yatakayotusukuma huko. Sio haya mambo ya kujua nani ni dini gani! So what?
NIMEIPENDA Hii
 
Inasikitisha kiukweli maana baada ya sensa kufanyika na hawa jamaa kupata idadi ndogo ya waislamu dhidi ya matarajio yao,lazima walalame kua kitu kitu kimechakachuliwa maana kabla hapa wanajigamba kwa kusema sisi makafiri hatuna lolote kwa kua twaoa mke mmoja na wao waoa hata wake wanne! Mi naona ndugu zangu waislamu muanze kutatua matatizo yaliyo kua ndani yenu kwanza,ndio mtulize akili na kuja huku nje maana kila siku twaona kesi zenu za kugombania misikiti zinavyotusumbua huku mahakamani na kulogana juu kisa nyumba za ibada,ifike wakati muone aibu na kubadilika!!
 
Hawajamaa haswa huyo shehe ametukana sana ukristo kwa muda mrefu lakini wakristo wametulia tu sasa ameona aanze kuwagawa watu kwa dini zao .minaona serikali ikubali tu kuingiza hicho kipengele ili tuone atapata faida gani?
 
tatizo la waislamu nadiriki kuwaita wengi ni vilaza
kutwa kulalamika. niwaulize mkuu wa nchi ni nani, makamu wake, jaji mkuu???wakristo hao?
wanataka wapewe mgawanyo sawa wa madaraka nani aliwaambia nchi hii ina dini? wanataka kutupeleka wapi?
wao wanakaa vijiweni na kunywa kahawa na walikataa kusoma shule za wakristo eti ni makafiri sasa wanataka wapewe vyeo bila kusoma? wamuulize JK alisoma shule ya watu gani? angesoma madrasa na kuishia kunywa gahawa leo angekuwa rais?
suala la ukabila na udini Nyerere alilikataa siku nyingi sana


pili wakubali kwa Tanzania asilimaia 62 ni wakristo, 35 ni waislamu na 3% ni watu wa dini zingine. kwa hivo tukiamua leo wakristo hata kupiga kura bado tunaweza kuwapita kwa mengi na pia idadi kubwa ya wasomi ni wakristo, nakumbuka nikiwa chuo kati ya wanafunzi 240 darasani 40 tu ndi walikuwa waislamu. acheni kelele pelekeni wanenus shule.
sijaona mantini ya wao kulalamika,
katika kazi hatuajiriwi kwa kigezo cha udini wala ukabila bali ni elimu na ujuzi wako.

Upo sahihi kabisa, na Mwalimu nyerere alisema kuwa wenye mawazo ya udini ukabila ni wale ambao wamefirisika kimawazo na fikrana pengine ndo maana Dr Mengi ameamua jana kuweka ile hotuba ya Mwalimu kuwakumbusha watu kama hao! dini ni imani sio dhehebu, kuna watu wanaingia uislamu kwa sababu mbalix2 kama kuolewa kwa tamaa ya pesa kama alivyofanya huyo binti msanii Wolper sasa watu kama hawa ndo mnataka wahesabiwe? ina maana gani unakutwa kwenye kitimoto alafu unatiki kwenye kibox cha muislamu? mm nafikiri haina maana kuweka kipengele hicho kama kuna umuhumu wa kufanya hivyo waislamu ombeni fedha toka huko uarabuni ili muendeshe zoezi lenu not on the expense of the government, hizi ni fedha za walipa kodi na nyie kwa takwimu mnaongoza kwa kutolipa kodi, anayebisha aende pale ofisi ya takwimu ataonyeshwa! hutaki kuamini niliyoyasema unaacha!
 
Hakuna maana sensa ya dini,huku ni kufilisika kimawazo,kimtazamo n.k sensa hii wanayodai itazidi kuwaumiza roho kwasabau kuna wimbi kubwa zaidi la watu wanatoka uislam na kuingia ukristo kwasababu hiyo idadi ya wakristo ni kubwa,watu wamechoka kutumikishwa na kuteswa na majini na hivyo wanatafuta pumziko la kweli lenye uhuru,amani,furaha ambalo ni Yesu kristo pekee......


Itakapojulikana idadi ya waislam ni ndogo itaongeza chuki na kuwasha hasira mara mbili na kuwafanya wazidi kuchoma makanisa zaidi na zaidi......Amani kivuli tuliyonayo itapotea kabisa baada ya hapo tutaanza kutafutana mchawi nani...


Ombi langu kwa Rais awe na msimamo mkali wa kulinda na kutunza amani hii,Amani itakapovunjika yeye anahusika na hatuweza kukubali tutakufa nae.
Aweke mbali Uislam wake na apinge vikali haraka matakwa haya waislam wenzake kwa maslahi ya Taifa hili. Kuchelewa kuongea kama mgomo ule madktari....kwa hili madhara yake makubwa sana.
..............................NAWASILISHA JAMVINI...........................

hizo propaganda unajazwa na kanisani ama ?

Kama huna la maana kaa kimya.

Tufanye sensa yenye vitengo vya kujua dini,umri,vilema,elimu na jinsia ili itusaidie katika mipango ya maendeleo ya nchi yetu.

Kwanini wakristo wana kataa sensa yenye kitengo cha kuhesabia watu kwa dini,jibu ni kuwa wanaogopa kuzidiwa na waislam maana sensa za makanisa yanaonesha ukristo una wafuasi wengi,na wamepandilizwa waislamu wakijuwa kuwa wao wapo wengi wata tawala kwa sheria,

ndugu zangu wakristo,kuwa kwako mkristu usikufanye watu wenye dini tofauti na wewe waishi kama unavopenda wewe na kanisa lako,

dini ya uislam ni mfumo kamili wa maisha ya mwanadamu,unatakiwa ukubaliane kuwa dini ya uislam haija kaa kama mulivyo fundishwa kanisani kuwa ikristo ni kanisani ukitoka nje basi,

tuacheni ushabiki tu,mimi ni mwislamu na sipendi kusikia mwislam ambaye hapendi maendeleo ya nchi yetu,lazima kila kundi,dini waone wanashiriki katika mchakato wa maendeleo,

hivi kuhesabiwa kidini kuta kupunguzia wewe nini??
 
Nadhani hii ni busara kwani muanisho huu wa kipengele cha dini ni muhimu hasa kukiwa na mipango inayohusu dini.. kama kujua tunahitaji kutenga ardhi kiasi gani kwa ajili ya misikiti/makanisa... au makaburi

Taarifa hii inapatikana vizazi na vifo au kwenye DHS. Dini au dhehbu la marehemu ali-determine the size of cemetery!
 
Waambie wafanye sensa yao wajue idadi ya waumini wa kiislam

You are very right. Roman Catholic tuna sensa zetu mara kwa mara na inaangalia na wanaowazunguka wakatoliki kwenye maeneo wanayoishi mpaka waislamu. Pia mfumo wa taarifa wa Roman Catholic ni mmoja wa mifumo bora sana duniani kama sio ndio bora kuliko yote duniani. Mfano mtoto au mtu mzima akibatizwa anapewa cheti cha ubatizo na kuwa registered kwenye register. Mambo yote yanayofuata yanawekwa kwenye hiyo register mpaka kifo

Halafu nafikiri cha msingi ni ku-strike the balance between elimu dunia na elimu ahera. Sasa hawa ndugu zangu wanakazia sana elimu ahera na kusahau elimu dunia. Wewe angalia eti wameandamana kuwa wahitimu wa Form VI wamefeli sana islamic knowledge lakini siku zote wengi wao wanafeli sana masomo mengine kama Biology, History lakini hatusikii malalamiko wala kuona maandamano.

Udini uliochanganyika na wivu na uj**ga ndio unaowasumbua!!
 
juzi Sheikh Ponda Issa ambaye ni katibu wa Jumuiya ya Kutetea Haki za Waislamu alitanabahisha kuwa iwapo serikali haitoweka kipengele cha dini katika fomu za sensa ya mwaka, jumuiya yao itahamasisha Waislamu wasishiriki katika zoezi la sensa.Alisema kuwa nchi hii siyo ya Kikristo lakini INATAWALIWA NA MFUMO KRISTO.

Alisema kutokana na mazoea, Waislamu wanabaguliwa katika mgawanyo wa keki ya taifa khasa upande wa ajira. ofisi na idara za serikali zinaongozwa na Wakristo kwa asilimia kubwa kulinganishwa na waislamu. alitoa mfano wa TRA, NECTA, Wizara ya Eimu, Wizara ya Ujenzi, Afya, Mahakama nk........... kwa mujibu wa Sheikh Ponda, wastani wa ajira ni karibu Wakristo 77% na Waisalmu siyo zaidi ya asilimia 20%. Licha ya hoja inayojengwa kuwa Waislamu hawajasoma lakini akasema waliosoma wapo.

Akatanabahisha kuwa kwa maslahi na umoja wa kitaifa, kupuuza watu ambao ni sehemu ya jamii ktk keki ya taifa ni jambo hatari sana! kwa kuwa wtu wanadai waislamu ni chini ya 20% katika nchi hii, akapendekeza sensa ya mwaka huu kiwekwe kipengele cha dini ili idadi ya watanzania kidini ijulikane. Kwa mujibu wa Sheihk Ponda, anaamini kuwa waislamu ni takriban 64% ya rais wa Tanzania.

"SIYO SAHIHI WATU WENYE IDADI HII KUPUUZWA KATIKA UWIANO WA AJIRA SERIKALINI", alisema Sheikh Ponda.Alitoa mifano wa nchi karibia zote za Ulaya, Marekani, asia pamoja na Afrika, kipengele cha dili kipo kwenye fomu za sensa zao. "Ukisoma country profile au fact file uingiapo katika nchi mbalimbali, utakuta wameandika wastani wa idada ya raia kidini" alisisitiza Ponda. "Mbona mnajifanya kama hamtembei au hamjui kinacho endelea ulimwengunu jamani!" alilalama Ponda.

HOJA YANGU Ndugu znaguni Watanzania, tufike sehemu tuache ukweli udhihiri. kama Waislamu wanalalamika kuwa wanabaguliwa katika ajira labda kutokana na uchache wao, kwa nini suala la dini lisiwekwe wazi? au utakua udini? au uchochezi? au uvunjifu wa amani? kama ni hivyo, mbona karibu 98% ya sensa zote duniani zina kipengele cha dini!? je huko wameuana kutoakana na kipengele hicho? TUBADILIKE!!!

naomba kuwasilisha!

No affirmative action, affirmative action in terms of religion will lead to underdevelopment. That one of gender is costing our country now!!!
 
Baada ya kuongeza kasi ya kuzaliana
lazima kujua kama lengo limetimia
au bado kidogo ili ipatikane nguvu
ya kudai ile mahakama

 
afanye kwanza sensa ya walio na degree za madrasa wako wangapi ndio alete upuuzi wake wa kidini.
 
Alonena ni suala zuri sana. vipengele muhimu va kuzingatiwa katika sensa ni pamoja na Umri, Dini, jinsia, hali za watu (ulemavu n.k) kwa ajili ya mipango ya nchi kwa maendeleo na ustawi wa jamii.

Ni vizuri kulijadili kwa kina kwa mustakabali bora wa nchi yenu katika mipango ya baadae.

jamani waislamu hakuna jambp lingine la maendeleo zaidi ya dini yenu ya kiislamu?sijawahi kusikia mnashauri chochote zaidi ya dini yenu ambayo hata maubiri yake ni kwa lugha wanayoelewa wachache sana miongoni mwenu waislamu!leteni pingamizi za maendelea dini hazina lolote zimeletwa na wapita njia tu hakuna dini imeanzia Tanzania hapa!zimetokea huko middle east na uingereza ambapo hata hamjafanya utafiti wa kujua chanzo chake ni nini...inawezekana zikawa mila na matambiko ya wenzetu huko...tafutaeni elimu na chakula kwa familia zetu achaneni na mambo ya kimagharibi nyinyi...kwa sabubu mnayoongea ni kwa mawazo yenu tu wala hayana upako wowote wa ajabu sasa huyu mnayesema mungu wenu anachangia nini katika busara zenu?
 
Hivi sensa kwa nchi kama TZ inasaidia nini au imewahi kusaidia nini? nani anaweza kunipa mifano hai?
 
Waislam tusome elimu dunia kwa bidii ndio tudai kazi
Sio kila siku ni kaswida, swala, mihadhara, ngoma na ndoa tuuuuuu mpaka inakera!
Tusome kwa bidii!
 
Swerikali itakuwa na kazi kubwa.......itabidi kujengwe barabara za waislamu na za wakristo!
 
Back
Top Bottom