Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Usiwe na kiherehere pitia michango yote humu utapata jibu
Unaushahidi ya kuwa hayo uliyoyaorodhesha wamefanya wao?

Mbona mumeshindwa ni kuwapeleka mahakamani ijulikane?

Wacha uchochezi wako juu Yao.
 
Hili swala lilitakiwa limalizwe na Mzee Kikwete wakati bado yuko madarakani.

Kuliacha suala hili mikononi mwa wakatoliki lilikuwa kosa kubwa sana alilolifanya Mzee Kikwete!
 
Walifunga kwa Uzushi na Unafiki mwezi mzima wa ramadhani.

Kuanzia jana hata kitimoto wanakula haswaa.

Guest houses zitapata Wateja sana

Yaani ndio wamefungulia haswaa.
Kweli kabisa kwa yanayo endelea saa hizi kwenye mitandao mara baada ya kuisha kwa the so called Ramadhani yanadhihirisha waislamu hufanya makusudi 'huku wakijua wanayo yafanyaga ni makosa'.
 
Hili swala lilitakiwa limalizwe na Mzee Kikwete wakati bado yuko madarakani.

Kuliacha suala hili mikononi mwa wakatoliki lilikuwa kosa kubwa sana alilolifanya Mzee Kikwete!
Kwani mzee Kikwete ni wa upande gani Bakwata au Siasa kali?
 
Walifunga kwa Uzushi na Unafiki mwezi mzima wa ramadhani.

Kuanzia jana hata kitimoto wanakula haswaa.

Guest houses zitapata Wateja sana

Yaani ndio wamefungulia haswaa.
Live nimetoka na ustadhat mmja matata,haaa haaa watu wa mfungo buana
 
Ni wakuozea ndani kweli....Tanzania ilikuwa inawaka moto kwa sababu yao, hasa Zanzibar

Mara Kanisa limechomwa, limetupiwa bomu, Padri kapigwa risasi, kamwagiwa tindi kali.....Balozi wa Papa kanusulika kuuwawa
Dah!!sasa kufanya huo ugaidi sijui wanachuki kiasi gani,

Bora tubaki kwa amani aisee,hao sio wa kurudi uraiani kabisa.

Tena wanfefanyiwa ukatili walio fanyia wenzao vile vile tu.
 
Nilipowaona fayza fox na Mohamed Said asubuhi subuhi na habari ya TANU na waislamu nikajua tu leo kabla ya machwei kuna jambo tutasikia.
Sijui hata hiyo Eid wanakula muda gani!
John...
Ndugu yangu wewe unaghadhibika unaposoma historia ya TANU?
Ningependa kujua.
 
Dah!!sasa kufanya huo ugaidi sijui wanachuki kiasi gani,

Bora tubaki kwa amani aisee,hao sio wa kurudi uraiani kabisa.

Tena wanfefanyiwa ukatili walio fanyia wenzao vile vile tu,pumbavu zao
Zeus,
Mbona unakuja na matusi?
Vipi tutafanya mjadala wa kistaarabu ikiwa unatukana?

Toka kesi za ugaidi zimeaanza hakuna hata mtuhumiwa
mmoja aliyekutwa na makosa.

Hili ni jambo la kufikirisha.
 
Nikawaida ya hawa jamaa kutengeneza matukio na kuwabebesha jamii za kiislam!!!

Kosa lao kubwa ambalo UAMSHO wamelifanya basi ni kuzunguka katika VIJIJI NA VITONGOJI vya UNGUJA NA PEMBA na kuwaeleza watu UBAYA WA MUUNGANO WA TANZANIA
 

Attachments

  • 90d2ddee39d2ffec2bb276e49a4a8b45.mp4
    3.6 MB
Zeus,
Mbona unakuja na matusi?
Vipi tutafanya mjadala wa kistaarabu ikiwa unatukana?

Toka kesi za ugaidi zimeaanza hakuna hata mtuhumiwa
mmoja aliyekutwa na makosa.

Hili ni jambo la kufikirisha.
So inawezekana hawahusiki??kwamba wamsingiziwa??
 
Huyu Sheik Ponda ange achia pale alipo malizia waraka wake kwa Raisi, ingekuwa na impact kubwa na hata Raisi au maraisi wote wange usoma au kumsikiliza wange litolea ufumbuzi wa haraka. Na hao masheikh InshaAllah wange achiwa - Lakini huyo Ponda akaanza kuharibu tena kana kwamba hataki hao masheik waachiwe! Anaanza kwa maneno ya kejeli. Ana tumia maneno kama Tanganyika, kudhihaki muungano, kudhihaki raisi wa Zanzibar, kuchochea waisilamu wachukie serikali na vingine vingi kujifanya mpelelezi na hakimu wakati huo huo! Kweli hasaidii hili swala zima. Mimi nilikubaliana na waraka wake. Japokuwa aliusoma kwa wasi wasi kana kwamba alishinikizwa na watu wengine ausome! Kwamba hakuhusika katika kuutayalisha! Au anayo maslahi binafsi? - kama hao masheik wakiendelea kusota ndani. Sheik Ponda huwatendei haki wenzio. Una fikiri wakitoka watakuzibia rizki?
Ni dhambi au kosa kisheria kutumia neon Tanganyika??
 
Vuguvugu la kidini likianza jiwe lazima asalimu amri nyie ndugu zetu tunawajua jinsi mnavyopigania haki za viongozi wenu...

Ukombozi ni sasa msisubiri Kesho
Kwa iyo mwenyewe unaombea hilo vuguvugu la kidini litokee, ili jiwe atoke madarakani, si ndio.
 
Back
Top Bottom