Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,635
- 8,957
Umfahamishe nani ebu sikiliza hapo kuanzia dakika 1:20 uone jinsi walivyofikia hatua za kuwapiga biti viongozi wa serikari ya Zanzibar. Ebu leta video yeyote ya kundi liliowahi kuongea maneno hayo duniani likaachwa salama na serikari husika nakupa siku nzima vinginevyo siku njema
Kwani Zanzibar ni mali ya Tanganyika. Tokeni wavamizi shughulikieni nchi yenu Tanganyika iliyojaa umasikini wa kuwekwa na CCM chini ya Kanisa Katoliki