Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Uislamu unasemaje kuhusu ugaidi Wa wana uamsho
Nitashangaa sana kama kuna muislam anayeelewa dini yake vizuri akaipigia kura ccm mwaka 2020.Masheikh zaidi ya 2000 wapo magereza mbalimbali kama arusha kwa kesi za kubambika ugaidi
 
Enough is enough, Masheikh wameumizwa vya kutosha na utawala wa CCM, ni muda muafaka sasa Waislamu kuungana ili kuondoa dhuluma hii kwa viongozi wao

Guys mnaota. Kuna mtu ameshauri mambo ya kisheria yafuatwe. Hakuna haki bila wajibu. Kuua au kumwagia watu tindikali ni dini ya wapi hiyo?

Kuna mambo sio rahisi kama watu wanavyodhani
 
Ponda anafaa kitiwa kitanzi tu
Huyu Sheik Ponda ange achia pale alipo malizia waraka wake kwa Raisi, ingekuwa na impact kubwa na hata Raisi au maraisi wote wange usoma au kumsikiliza wange litolea ufumbuzi wa haraka. Na hao masheikh InshaAllah wange achiwa - Lakini huyo Ponda akaanza kuharibu tena kana kwamba hataki hao masheik waachiwe! Anaanza kwa maneno ya kejeli. Ana tumia maneno kama Tanganyika, kudhihaki muungano, kudhihaki raisi wa Zanzibar, kuchochea waisilamu wachukie serikali na vingine vingi kujifanya mpelelezi na hakimu wakati huo huo! Kweli hasaidii hili swala zima. Mimi nilikubaliana na waraka wake. Japokuwa aliusoma kwa wasi wasi kana kwamba alishinikizwa na watu wengine ausome! Kwamba hakuhusika katika kuutayalisha! Au anayo maslahi binafsi? - kama hao masheik wakiendelea kusota ndani. Sheik Ponda huwatendei haki wenzio. Una fikiri wakitoka watakuzibia rizki?
 
Nitashangaa sana kama kuna muislam anayeelewa dini yake vizuri akaipigia kura ccm mwaka 2020.Masheikh zaidi ya 2000 wapo magereza mbalimbali kama arusha kwa kesi za kubambika ugaidi

Waliwekwa na Muislam mwenzenu Jakaya mbona 2010 mlimpigia kampeni za wazi misikitini(rejea mahubiri ya Lipumba 2010)
Mnataka jpm awatoe wakati mwenzenu ndo anaewajua na kawaweka huko?
 
Nilipowaona fayza fox na Mohamed Said asubuhi subuhi na habari ya TANU na waislamu nikajua tu leo kabla ya machwei kuna jambo tutasikia.
Sijui hata hiyo Eid wanakula muda gani!
Walifunga kwa Uzushi na Unafiki mwezi mzima wa ramadhani.

Kuanzia jana hata kitimoto wanakula haswaa.

Guest houses zitapata Wateja sana

Yaani ndio wamefungulia haswaa.
 
Hata hao waliowakamata hawayajui makosa yao ndio maana wanashindwa kuwapeleka mahakamani ili haki ikatendeke!
Wameshapandishwa kizimbani Mara kibao sasa unataka kusema walisomewa mashtaka gani
 
Wale ni magaidi sio mashekhe hakuna mashekhe wanaioijua dini ya haki ya uislamu wafanye haya

Kuchoma makanisa

Kuua mapadre

Kumwagia watalii acid
Unaushahidi ya kuwa hayo uliyoyaorodhesha wamefanya wao?

Mbona mumeshindwa ni kuwapeleka mahakamani ijulikane?

Wacha uchochezi wako juu Yao.
 
Back
Top Bottom