Nasikia ZAMBARAU waliomba talaka kwenye S.U.K basi ili kutuliza ikabidi wazee wakae wampange mjomba atulie angalau wasizidi kujitia doa zaidi kutokana na yanayoendelea
ACT wametishia kujitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, hivyo ccm wameona watazidi kuchafuka, hatimaye ikabidi wamtake huyo mbunge ajitoe kuepusha chama chao kuzidi kuchafuka.