Sheha Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde (CCM) ajiuzulu

Nasikia ZAMBARAU waliomba talaka kwenye S.U.K basi ili kutuliza ikabidi wazee wakae wampange mjomba atulie angalau wasizidi kujitia doa zaidi kutokana na yanayoendelea
 
ACT wametishia kujitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, hivyo ccm wameona watazidi kuchafuka, hatimaye ikabidi wamtake huyo mbunge ajitoe kuepusha chama chao kuzidi kuchafuka.
😂😂😂😂
 
Duluma itawaua CCM na kuwapeleka JEHANAMU. Haya ni madhara ya dhuluma na wizi wa kura ndiyo yamewafikisha hapa. mbwa nyie!!1
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom