Sheha Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde (CCM) ajiuzulu

ACT wakishiriki Tena huo uchaguzi ntaamini maneno yako. Maana walituambia hawatashiriki uchaguzi
ACT wametishia kujitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, hivyo ccm wameona watazidi kuchafuka, hatimaye ikabidi wamtake huyo mbunge ajitoe kuepusha chama chao kuzidi kuchafuka.
 
Hii haijaeleweka mzee. Mbunge wa CCM ana uhusiano gani na kujitoa kwa ACT? Jazia content kidogo
 
Yaani mie nafikiri, ili kuepukana na gharama kwa nchi zetu maskini', inapotokea nafasi imekuwa wazi kabasi aliefuatia kwa kura ndo achukue nafasi kuepuka gharama zisizo na tija kwa nchi.
Huyo aliteuliwa na si kuchaguliwa.... Labda kama mleta mada amekosea....
 
Hii haijaeleweka mzee. Mbunge wa CCM ana uhusiano gani na kujitoa kwa ACT? Jazia content kidogo
Ni hivi, mshindi halali wa huo uchaguzi alikuwa ni wa ACT. Ccm wakatumia mbinu ya Magufuli kumtangaza mgombea wa Ccm kwa shuruti. Ifahamike ACT walikubali kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa ili kuponya nchi yao, kwa makubaliano ule uhuni wa 2020 hautarudiwa tena. Kutokana na uhuni huo kujirudia, ACT wakatangaza wazi kuwa hawako tayari kuvumilia tena uhuni huo, hivyo wakasema matokeo haya yasipobadilishwa basi wanajitoa rasmi kwenye serikali ya umma wa kitaifa, na wako tayari kurudi enzi za uhasama. Ccm wakaona kisicho halali hakiliki, wakamtaka huyo mbunge mwizi wa kura ajitoe ili kulinda makubaliano yao.
 
Walifanya uchaguzi wa marudio mgombea wa Act wazalendo alishinda ila wa ccm akatangazwa mshindi.
Act -wazalendo wakasema wasiporudishiwa ushindi wanajitoa
 
Ni hivi, mshindi halali wa huo uchaguzi alikuwa ni wa ACT. Ccm wakatumia mbinu ya Magufuli kumtangaza mgombea wa Ccm kwa shuruti. Ifahamike ACT walikubali kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa ili kuponya nchi yao, kwa makubaliano ule uhuni wa 2020 hautarudiwa tena. Kutokana na uhuni huo kujirudia, ACT wakatangaza wazi kuwa hawako tayari kuvumilia tena uhuni huo, hivyo wakasema matokeo haya yasipobadilishwa basi wanajitoa rasmi kwenye serikali ya umma wa kitaifa, na wako tayari kurudi enzi za uhasama. Ccm wakaona kisicho halali hakiliki, wakamtaka huyo mbunge mwizi wa kura ajitoe ili kulinda makubaliano yao.
Hapa nimeelweza sasa. Nashukuru sana ka hilo, naamini na wenzanfu ambao walikuwa hawajajua huu mchakato wataelimika sana.
 
ACT wametishia kujitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, hivyo ccm wameona watazidi kuchafuka, hatimaye ikabidi wamtake huyo mbunge ajitoe kuepusha chama chao kuzidi kuchafuka.
Sasa kwanini walikwiba kura za ACT hawa CCM?
 
Yaani mie nafikiri, ili kuepukana na gharama kwa nchi zetu maskini', inapotokea nafasi imekuwa wazi kabasi aliefuatia kwa kura ndo achukue nafasi kuepuka gharama zisizo na tija kwa nchi.
Tena kwa Konde anayefuatia ndiyo alikuwa mshindi halali
 
Back
Top Bottom