Sheha Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde (CCM) ajiuzulu

ACT wametishia kujitoa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, hivyo ccm wameona watazidi kuchafuka, hatimaye ikabidi wamtake huyo mbunge ajitoe kuepusha chama chao kuzidi kuchafuka.
Umeniambia kitu kikubwa nimekuelewa.
Asante sana
 
Mungu anajibu maombi na ndiyo maana leo dhalim yupo jehanam
Kabisa!

Dhalimu yuko jehanamu na sasa tuko vizuri!

Tuko na mama anafanya vizuri, si unaona hata magaidi jinsi wanavyokamatwa? Kesi zao zinaanza kuunguruma tarehe 5.

Kumbe dhalimu alilea magaidi kwa miaka yake yote mi 5!

Makofi kwa mama.
 
Wazanzibar baadhi wanatrue heart ya kutopenda dhuluma, uonevu ,wizi etc Kama dini inavoeleza..nimekumbuka yule aliyemrudishia mtu aliyepoteza begi limejaa fedha ......

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni matokeo ya wizi wa kura, marekebisho ya kwanza ni kuwaondoa watendaji wa tume.
Akili ya kawaida haiwezi kumtangaza mshindi mtu aliyeshindwa kwa kura nyingi. Labda tofauti iwe ndogo.
 
Yaani mie nafikiri, ili kuepukana na gharama kwa nchi zetu maskini', inapotokea nafasi imekuwa wazi kabasi aliefuatia kwa kura ndo achukue nafasi kuepuka gharama zisizo na tija kwa nchi.
Hiyo no,! watu watatoana roho ili alieshika nafasi ya pili achukue nafasi. Kuepusha gharama ni kuwa na chaguzi huru na za haki.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ccm watakuwa wamemlazimisha ajiuzulu ili uchaguzi urudiwe ACT Wazalendo washinde. Tayari ACT walitishia kujitoa kwenye serikali ya umoja huko Zanzibar sababu ya figusi za uchaguzi wa huyu jamaa
 
Kabisa!

Dhalimu yuko jehanamu na sasa tuko vizuri!

Tuko na mama anafanya vizuri, si unaona hata magaidi jinsi wanavyokamatwa? Kesi zao zinaanza kuunguruma tarehe 5.

Kumbe dhalimu alilea magaidi kwa miaka yake yote mi 5!

Makofi kwa mama.
Na yeye hawezi kuikwepa ghadhabu ya Mungu, it's just a matter of time.
 
Huyu Shehe Mpemba kuna kitu alichoshtukia manake kaona sio haki kunufaishwa na dhulma, kutokana na inavosemekana kashindwa na mpinzani wake kwa kura asilimia 70%, dhulma ikampitisha yeye wa 30% awe mbunge wa konde. naona hiyo ndio iliomsababisha khofu ya kumuogopa Mungu imfanye ajuuzulu huo ubunge.
Kwa upande wa Zanzibar, tangu uingie mfumo wa vyama vingi, CCM imekuwa ikitangazwa mshindi, lakini HAIJAWAHI KUSHINDA .

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom