Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,001
- 48,527
Alafu tunakuwa hatujui Bora ufike hat km imechelewa kuliko kupoteza kabisaYaani hilo tukio linafanana kama langu.
Sema mimi niliagizwa kwa mtu nikaogopa kwenda.
Alafu tunakuwa hatujui Bora ufike hat km imechelewa kuliko kupoteza kabisaYaani hilo tukio linafanana kama langu.
Sema mimi niliagizwa kwa mtu nikaogopa kwenda.
Mkuu na wewe ulikaa seed farm pale igowole kwa mwalimu kauta aloooo wewe ni chuma kama mimi. Pia nimepita pale.



😂😂😂Aunt nilikuwa na matukio Kuna moja baba alinipigia na banio la moto 😂😂😂Shangaziii![]()
Naona Leejay49 amelike pilau...🤣🤣 Itakuwa anapenda pilau huyu leeDaaah nimekumbuka mbali sana. Enzi ya asante Mkapa, RIP Big Benji, nikiwa darasa la pili nilikua napenda sana kwenda vibanda umiza vile vilikuwa vinaonyesha movies. Sasa ratiba ilikua hivi asubuhi mpaka sa6 mchana ni picha za kihindi huwa ni ndefu hivyo huwa mbili tu, sa7 picha za kibongo hadi sa10 au kizungu inategemea, sa10 hadi sa1 usiku ya kihindi ya kumalizia siku. Baada ya hapo watu hutawanyika lakini kwenye ule ubao wa kuwekea makava ya muvi nilikua nasoma kwa chini kila siku wanaandika leo usiku kutakuwa na pilau. Sasa nafikiri ni curiosity na utoto wa kutojua pilau ni nini? Siku moja nikasema leo siondoki, baada ya picha ya kihindi ya jioni kuisha nitasubiri mpaka na mimi leo nile hilo pilau nikidhani ni msosi. Sasa binamu zangu ambao tulikuwa na umri sawa wakati wanaondoka bandani baada ya picha ya kihindi nikawa nawashawishi tubaki wote tule pilau wakasema watoto hawaruhusiwi sikukata tamaa, nyuma ya lile banda kuna matobo yalikuwepo ambayo unaweza kuona ndani, nikasema nitajibanza kwa nyuma ya banda hadi mda wa pilau ufike wakipakua nitaenda na hakuna atakayenifukuza(masikini ningejua ningeondoka na binamu zangu).
Basi muda ukafika nikastaajabu kuona wake kwa waume, wababa kwa wamama, na mabraza na masista du wa mtaani wanaingia bandani, hapo ishafika saa4 usiku, laahula VHS ikafunguliwa wakatia mkanda wa tofali daaah nilichokiona (ilikua siku yangu ya kwanza kucheki porno) na kwa kuwa nilikua nachungulia toka nyuma ya banda nikawa naona na wale waliokaa nyuma walichokuwa wanafanya ni laana.
Sasa bana msala ulianza pale lile zoezi la pilau lilipoisha nisijue ishakua sa6 usiku na nimeshatafutwa kinyama bila mafanikio, na binamu zangu walipoulizwa wakasema nilikua nasubiri pilau, wewe sikia tu kama sikuzimia siku hii kutokana na kipigo sitazimia tena mshua alinidunda kama anaua nyoka.
Sasa nilipokua naulizwa umekula wapi pilau? Mimi kimya. Hapa nyumbani hauli? Mimi kimya. Mama anadakia huyo jeuri unaona hajibu, asijue ni mambo ya ajabu nimetoka kutazama nashindwa hata kuyaelezea. Siwezi sahau hii siku asubuhi nilipelekwa hospitali baada ya kupata homa kali na vijipu sababu ya kipigo.
Du hii balaa aisee!Niaje wadau
Leo nlipata muda wa kuzunguka zunguka town, nimekutana na Mwalimu mmoja alinifundisha shule ya msingi, amefanya nikumbuke baadhi ya matukio mengi sana ya nyuma.
1. Kipindi niko shule ya msingi baada ya kusoma nkawa naenda polini kutafuta maembe afu nnauza
Nikiuza ile hela ni kununua alizeti na gropu za tochi. Kwahyo ile asubuhi wenzangu wanavyoingia darasani mimi nazama porini, ikifika saa 4 muda wa mapumziko naenda kununua VITU, hapo mimi ndio boss.
Sasa siku moja nikawanyima jamaa zangu alizeti wakachukia na kwenda kumpa taarifa baba kuwa Nahman hasomi anauza maembe! Aloo nlikula kichapo ile siku sitokaa nisahau!
2. Kipindi cha balehe kimekolea pale, nikategea wazazi hawapo na mpangaji mmoja ameshaenda kazini nkaita pisi moja nyumba ya pili ije kule chumbani kwetu. Mtoto akaja na kanga na kachupi tu, ile nmeanza manjonjo nikasikia geti linesukumwa la nje!
Si nkatoka ile haraka nkakutana na mama! Akauliza mbona umetoka haraka au unachezea umeme (nilikua napenda kujaribu jaribu vitu) nikajibu hapana. Akasema wee ngoja nije, akaingia chumbani me nmebaki nje nasikilizia bomu linaloripuka.
Nakuta kaingia katoka kaenda zake ndani kuchukua alivyosahau then akaenda zake. Sasa kuingia kule ndani na mimi simuoni J. Kumbe aliingia kwenye box kubwa la nguo halafu akajilundika mule, nikamwita akainuka akaenda zake.
Hebu tupe kisa chako/mdogo wako kipindi cha makuzi yenu.
Hahahaha! Pole sana mkuu. utoto raha sana. Ungesem ukweli wangekuua, bora ulipobakia kuwa jeuri. Hahahaha!Daaah nimekumbuka mbali sana. Enzi ya asante Mkapa, RIP Big Benji, nikiwa darasa la pili nilikua napenda sana kwenda vibanda umiza vile vilikuwa vinaonyesha movies. Sasa ratiba ilikua hivi asubuhi mpaka sa6 mchana ni picha za kihindi huwa ni ndefu hivyo huwa mbili tu, sa7 picha za kibongo hadi sa10 au kizungu inategemea, sa10 hadi sa1 usiku ya kihindi ya kumalizia siku. Baada ya hapo watu hutawanyika lakini kwenye ule ubao wa kuwekea makava ya muvi nilikua nasoma kwa chini kila siku wanaandika leo usiku kutakuwa na pilau. Sasa nafikiri ni curiosity na utoto wa kutojua pilau ni nini? Siku moja nikasema leo siondoki, baada ya picha ya kihindi ya jioni kuisha nitasubiri mpaka na mimi leo nile hilo pilau nikidhani ni msosi. Sasa binamu zangu ambao tulikuwa na umri sawa wakati wanaondoka bandani baada ya picha ya kihindi nikawa nawashawishi tubaki wote tule pilau wakasema watoto hawaruhusiwi sikukata tamaa, nyuma ya lile banda kuna matobo yalikuwepo ambayo unaweza kuona ndani, nikasema nitajibanza kwa nyuma ya banda hadi mda wa pilau ufike wakipakua nitaenda na hakuna atakayenifukuza(masikini ningejua ningeondoka na binamu zangu).
Basi muda ukafika nikastaajabu kuona wake kwa waume, wababa kwa wamama, na mabraza na masista du wa mtaani wanaingia bandani, hapo ishafika saa4 usiku, laahula VHS ikafunguliwa wakatia mkanda wa tofali daaah nilichokiona (ilikua siku yangu ya kwanza kucheki porno) na kwa kuwa nilikua nachungulia toka nyuma ya banda nikawa naona na wale waliokaa nyuma walichokuwa wanafanya ni laana.
Sasa bana msala ulianza pale lile zoezi la pilau lilipoisha nisijue ishakua sa6 usiku na nimeshatafutwa kinyama bila mafanikio, na binamu zangu walipoulizwa wakasema nilikua nasubiri pilau, wewe sikia tu kama sikuzimia siku hii kutokana na kipigo sitazimia tena mshua alinidunda kama anaua nyoka.
Sasa nilipokua naulizwa umekula wapi pilau? Mimi kimya. Hapa nyumbani hauli? Mimi kimya. Mama anadakia huyo jeuri unaona hajibu, asijue ni mambo ya ajabu nimetoka kutazama nashindwa hata kuyaelezea. Siwezi sahau hii siku asubuhi nilipelekwa hospitali baada ya kupata homa kali na vijipu sababu ya kipigo.
Muone wewe mpenda nyamnyam..Muone na huyu 😃😂😂😂
Niache huko😐😂😂😂🙌Muone wewe mpenda nyamnyam..
Dah hatari sana .1. Mwalimu alikuwa anakaa kwenye koti na kukihamisha na kudondoka chini pwaa. Darasa zima lika Cheka. Ila Mungu c athumani adhabu alipewa mwingine . Maana nisogeza kiti na kusogea mbele.
Ilipogundulika ni mimi. Nikaambiwa nije na mzazi. Nilishambuliwa na ofisi nzima ya walimu. Na kurudi nyumba kama season nyingine ya adhabu.
2. Tupo na Wana Huwa tunatabia yankuchokoza mbwa wa geti Kali, tunachungulia kwenye upenyo tunabweka wuuu,wuuu, mbwa anabweka hatari, siku hazigandi tunaona Raha wenzangu wakawa wanapanda kwenye geti na kumfanya mbwa afyatuke kwenye mnyororo wake akaukata. Aloooo, bwana Yesu saidia nilikimbia kimya kimya niliposimama nikaamza kulia.
Jamaa yetu alipigwa bite za kutosha akalazwa na kuchomwa sindao za mbwa kichaaa.
Wengine ikawa adhabu mkienda kumwona fimbo 12.
3. Mechi za ndondo kapu kati ya mtaa na mtaa, Kuna watoto wa mabibo jeshin wakaja kucheza kwetu , tukafungwa tukaleta uhuni kuwa tupo mtaani kwetu tukachomoa goli ilikuwa matawi ya mnazi lilikuwa upande wetu tukarusha kwenye nyumba mojawapo ikaingia ndani, ugomv8 ugomvi jamaa yetu mmoja mjukuu wa Mary chipungahelo akagungulia mbwa wake wahuni wakakimbia woote, tukajua tumemaliza
Saa mbili usiku wakaja tena na brothers zao wengine walikiwa sijui MP wale waliangusha kichapo, kwa watu wengine sisi kwenye ugomvi tukampiga dogo mmoja baba yake.mjeshi nahisi aliumia vibaya jichoni. Mpaka sasa nichongo. Ulikuwa mzozo mkubwa sana. Lakini kesi sijui iliishaje .
4. Kuiba /kupora kofia ya police, akiwa anacheza kamali. Aisee cjawahi kuona police anakuwa mpole kiasi kile l, hii kesi yake tulipona kwa sababu aloyekuwa kwenye kesi alikuwa mjukuu wa Mkubwa.
5. Kesi zilivyokuwa nyingi nikapelekwa kijijini kama adhabu. Shule moja inaitwa igowole ipo mufindi. Mkataba wa kwenda Kule nikifanya ujinga wowote, mzazi hayupo na hakuna wa kunitetea, Kule nikakutana na watoto wanatoka morogoro wamepinda balaa, tunakumbuka shule ilikuwa na miradi tofauti, walimu wetu ndo walikiwa wanafaidi direct na ile.miraid, gafla wanafunzi wakagoma na maandano na mgomo mimi nikawa moja ya VIONGOZi wagomaji kwa stand 1. Migomo ya zamani ni kupasua vioo vya madarasani shuleni, nyumba za walimu, kubomoa ghala za misosi na pamoja na kuchoma mifugo na kuharibu mazao.. mishale ya saa 6 kwenda saa 7 fujo zimekolea kumbe FFU WALIKUJA KIMYA KIMYA C GIZANI. GAFLA UNASHANGAA MTU KAVAA KIOO KAMA ANAENDA KUVUA KAMBALE mabomu wa machozi mawili tumedakwa kama kuku wote. Wengine tukalal porini kwenye magogo baridi inatupiga... Aisee nimechoka kuandika
Ila Mungu alikuwa anasikikiza sana Sala za Mama, maana Kuna siku alikuwa anasali sitting room anasema Mungu huyu mtoto nakukabidhi wewe, ikiwezekana kama sio mpango wako asiwe wangu mpeleke Sehemu sahihi kama Yusuph. Alooooo

Unaenda wapi sasa... rudi bhana🥹🥹
Am toto I do need to sleep naacha kubwakubwa muangalie mieleka..😅Unaenda wapi sasa... rudi bhana🥹🥹
Am toto I do need to sleep naacha kubwakubwa muangalie mieleka..😅
UlipitaKauta hoyee .. alinikimbiza na mlinzi nilitoroka kwenda kuiba mapindigesi![]()
![]()
![]()
Kumbe na ww ulisoma pale. Ila nahisi ulisoma advanced levelKauta hoyee .. alinikimbiza na mlinzi nilitoroka kwenda kuiba mapindigesi![]()