Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

Unafeli mwamba mwanaume hatakiwi kushindana na mwanamke hata kidogo,

Masculinity gani unayo unayotaka competition na bibiye Tena picha kwamba wewe mzurii wa sura au🤔

Hata uwe handsome utabaki kuwa na sura ya kiume tuu, otherwise uwe wa kike like her

Gademiit

Mambo ya kubamizwa wataka kama DIVISHENI FOO ?
Tumepoteza tena
 
Mwanaume akiwa mrefu ndio kigezo Cha kwanza Cha kupendwa na kila mwanamke.
Mbona wapo tunaishi nao mitaani hawana mademu na wanasota kweli kweli hadi wanatuuliza sisi wafupi tunawapataje mademu wazuri!

Binafsi sio mrefu lakini hakuna mwanamke nitamhitaji aruke kiunzi.

Nafikiri good looking man plus swaga/sound ina matter zaidi kuliko kingine chochote mkuu.

Wanaume weupe pia wanababaikiwa sana na mademu no matter ni mrefu ama mfupi.

Hii ni observation yangu mwenyewe niliifanya na nikagundua hivyo mkuu.
 
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa
Washamvunja tayar
 
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Loaded wallet
 
Weka picha kuleta utamu wa swali Ili watu tuchague.
 
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.

Vipi mkuu Diarra katoka golini?
 
Ahsante sana ndugu yangu, tuko pamoja. Ule uzi bora ujifie kimoja tu, maana maugomvi huanzia pale. Watu wanaleta maisha halisi waliyonayo pale, mtu ana wivu wake akiona picha roho inamuuma anaanza shida. Akijilinganisha anaona hapana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
 
Mbona wapo tunaishi nao mitaani hawana mademu na wanasota kweli kweli hadi wanatuuliza sisi wafupi tunawapataje mademu wazuri!

Binafsi sio mrefu lakini hakuna mwanamke nitamhitaji aruke kiunzi.

Nafikiri good looking man plus swaga/sound ina matter zaidi kuliko kingine chochote mkuu.

Wanaume weupe pia wanababaikiwa sana na mademu no matter ni mrefu ama mfupi.

Hii ni observation yangu mwenyewe niliifanya na nikagundua hivyo mkuu.
Pesa unayo?
 
Back
Top Bottom