Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
1000003518.jpg
 
Mwanamke yupo tayari kumvumilia mwanamke mwenye pesa na sio vinginevyo
 
Binafsi nadhani kitu pekee ambacho kinafanya wanaume tuvutie ni dominance na expression ya masculinity...ukiwa na hivyo vitu naturally utavutia wanawake
 
Mwanaume Jari fikra zako kwanza , mengine yanafata.

#MWANAUME NI FIKRA IMARA NA ZENYE WEREDI.
 
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Kwa mwanaume kamili PESA ndiyo shape inayovutia kuliko aina nyinginezo.
 
It's for real,kuna baadhi ya wanaume,wana mionekano inayowavutia sana wanawake kwa mapema zaidi,hatukatai wanajiita handsome boys nadhani

Shida inakuja hapa kwenye jukwaa kama hili,ambalo humjui mtu wala hakujui,fake avatar,fake names sometimes,

Unakuta kuna user anajitambulisha kuwa yeye ni mwanaume mwenzetu then anaanza kujisifu kuwa yeye ni handsome boy sana,madem kitaa wanalia lia sana,

Hey Boy listen up,sisi ni wanaume hatujali kuhusu uzuri wa mwanaume mwenzetu,tutajali kuhusu wanawake wazuri sio wanaume wazuri,labda kama huwa unadinywa endelea kutangaza biashara mrembo
 
Ahsante sana ndugu yangu, tuko pamoja. Ule uzi bora ujifie kimoja tu, maana maugomvi huanzia pale. Watu wanaleta maisha halisi waliyonayo pale, mtu ana wivu wake akiona picha roho inamuuma anaanza shida. Akijilinganisha anaona hapana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Naomba tuanzishe uzi wetu lakini safari hii uwe PM tunaUnda group letu hata tukiwa wawili sawa tuu 🙏🙏🙏🙏😂😂😂😂😂
Ni mawazo tu
 
Back
Top Bottom