Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
No one is perfect....shape nzuri ya mwanaume ni mkwanja tu tafuta hela kuwa na cash
 
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
"we bwana jiangalie.utafika umechoka sanaaaa! Eehh jiangalie! Utafika umechoka"
-Hivi ni nani aliimba huu wimbo?
 
Back
Top Bottom