haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 1,559
- 3,812
- Thread starter
- #41
Pose la kishambaUnataka utanashati? Huyu mnaendana.View attachment 3380352
Too dark
Point ear.
Do better next time
Pose la kishambaUnataka utanashati? Huyu mnaendana.View attachment 3380352
Sasa hapo imependwa pesa, tuzungumzie muonekano. Au huelewi?Jamani mwanaume tumefikia huku kuangaliana mashepu,ngoja niwasimulie,kuna jamaa yangu hapa jirani ni mbaya kinoma,mweusi,kichogo umbo haeleweki,ila anapesa,na ameoa mwanamke ambaye ukiambiwa huyu ni mke wa jamaa huwezi amini, pesa ndio shape la mwanaume.
Unataka utanashati? Huyu mnaendana.View attachment 3380352
kwa wanawake huwa tunawapendea mwonekano kwa vile hawana pesa,na vile vile sisi wanaume huwa tunapendwa kwa pesa kwa vile hatuna mwonekano mzuri,ila nikutahadharishe,ushoga ni dhambi mkuu tena iliyokuu.Sasa hapo imependwa pesa, tuzungumzie muonekano. Au huelewi?
Za siku nyingi Poor Brain naona tunapishana juu kwa juu kama lidege la B -50 angani 🤣🤣🤣🤣🤣Bantu bantu nakusalimia sana
Sasa hiyo si nitakuwa ka anko T 😁😁Vipi haszu ushachukua skin care products kwa ajili ya kipupwe usije babuka,
Usisahau hand cream na foot cream usije dorora,
Mwenye maadili mazuriMwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.
N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Huyu ana pose za kwako, niliona picha yako, ulivyojificha una komwe na mlugaluga. Halafu jana ukaniwekea taarabu kuwa nimechina? Punguza uswahili swahili huo.Pose la kishamba
Too dark
Point ear.
Do better next time
Nilijua nimekasikia peke yangu,Hapa kuna kaharufu kabaya ndani yake 🤔🤔
Yaaani juu kwa juu aiseee...Za siku nyingi Poor Brain naona tunapishana juu kwa juu kama lidege la B -50 angani 🤣🤣🤣🤣🤣
Nilijua cobraUnataka utanashati? Huyu mnaendana.View attachment 3380352
Bora na wewe umesanuka mapema, hizi habari "shepu za kiume" kuna wasiwasi hapa 🤔Nilijua nimekasikia peke yangu,
Balehe inasumbua
Nyie mlipaswa mkafie vitani huko Israel.
Balehe isumbue kwa mwanaume kujisifia uzuri bwashee?Balehe inasumbua
Tokaa kajinga wewe
Atoke maghetoni aseme yeye ni mdudu kamba mavi tu , wala hatuna shida.Gerera here Gademiit