Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

Nimecheka 🤣🤣🤣🤣 PM tena 😊😊😊😊 ila Poor Brain una hatari
Maaana ukisema uanzishe uzi wana utoa..
Hali ishaanza kuwa si hali nataka uzi urudi kwa njia nyingine.... 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🥹🥹🥹

Na mod wakitufata na kule wallah nafungua kesi ujue mi nimesoma sheria eeeeh
 
We jamaa mi nitakutukana an tutatukanana humu..
Mkuu nimekwambia sitaki ubaba na wewe sitakiiiii...
Tafuta mtu mwingine umuite mwanao sio mm
Matusi yepi haya haya sio k, bwabwa, sjui mngse ntakutukana uone rangi za jua ***** gademiiit
Mi sio mwanao..
Mwanao ni secretarybird
Shut up!

Wote nitawaadhibu hadi mrudi katika njia iliyo sahihi!
Mnadirikije kuzozana mbele ya kaka yenu secretarybird?!

Nyinyi nyote ni wangu na bado nawapenda ila mkiendelea hivi nitawanyoosha kisawasawa.
 
Maninaaaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
Wewe ushaambiwa acha kuvuta bangi huelewi ona sasa
Mimi pamoja na ulevi na bangi zangu bado siwezi nikaacha kuwaweka vijana wangu Poor Brain na Monetary doctor katika mstari mnyoofu ili wasije wakawaharibika.

GENTAMYCINE nilimwachia hivi hivi lakini tizama alivyoharibiaka, akili yake imekuwa kama ya wild beast.
 
Maaana ukisema uanzishe uzi wana utoa..
Hali ishaanza kuwa si hali nataka uzi urudi kwa njia nyingine.... 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🥹🥹🥹

Na mod wakitufata na kule wallah nafungua kesi ujue mi nimesoma sheria eeeeh
😅😅😅😅😅😅😅 unamfungulia kaka Max kesi tena 😄😄😄😄 umemuona secretarybird alivyoshangaa mambo ya PM hee sijui kawaza nini.
 
Back
Top Bottom