min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,066
- 166,625
Ona hii ngumbaruš®Sure, siwezi pauka ngozi wakati solution ipo dukani, you should do that as well.
Ona hii ngumbaruš®Sure, siwezi pauka ngozi wakati solution ipo dukani, you should do that as well.
Unadhalilisha uanaume kujiita mwanaume š® siuseme tu wewe ni dada ashura utaeleweka.Acha kuleta mambo ya michicha mwiba, hapa ni wanaume rijal
Cambiaso Penye chambi nyingi,weka kambi hapo šHAPA SIO PA KUPIGA KAMBI ZINAWEZA KUVUNJWA CHUPA ZA MIRINDA
Astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah š š š š š š š š š š š š š š š š nimecheka daaah et wadudu komba mavi daaahWadudu komba mavi inawezekana wamejaa humu kinouma , ndio maana jamaa anakuja kimkakati sanaš¤
nikupe mfano wa picha ili upate jibu kirahisi?Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.
N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Hauwajui wale wadudu wanaoburuza mavi bwashee?Astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah š š š š š š š š š š š š š š š š nimecheka daaah et wadudu komba mavi daaah
Apewe na lipshine kwa mng'ao bora wa lips wakati anatuelekeza hizo issues.Vipi haszu ushachukua skin care products kwa ajili ya kipupwe usije babuka,
Usisahau hand cream na foot cream usije dorora,
šš
Nyie mlipaswa mkafie vitani huko Israel.
Hivi haya maneno huwa mnatamka vipi bwana hamnazo šøAstaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah š š š š š š š š š š š š š š š š nimecheka daaah et wadudu komba mavi daaah
šššššššš Humu ndani humu daaahHauwajui wale wadudu wanaoburuza mavi bwashee?
Tokaa kajinga weweUnauelewa mdogo wa masculine, kua rough hakukufanyi uwe gentleman, acha uchafu
šššš We endelea kunichokoza...Hivi haya maneno huwa mnataka vipi bwana hamnazo šø
Hapana sheikh, tuishie hapo tu ššššš We endelea kunichokoza...
Au unataka niwaite hapa wakuelekeze
Bantu bantu nakusalimia sanaUnataka utanashati? Huyu mnaendana.View attachment 3380352