Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,305
Jamaa ana hips na taco kumshinda Poshy Queen
Jamaa ana hips na taco kumshinda Poshy Queen
Huo mpododo sio poa asee
Ahsante sana ndugu yangu, tuko pamoja. Ule uzi bora ujifie kimoja tu, maana maugomvi huanzia pale. Watu wanaleta maisha halisi waliyonayo pale, mtu ana wivu wake akiona picha roho inamuuma anaanza shida. Akijilinganisha anaona hapana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaaani juu kwa juu aiseee...
Nakumbuka mara ya mwisho nilituma barua kwenda kwa uongozi wa jf kuhusu kufunguliwa uzi wetu...
Mi niko poa kabisa namshukuru Mungu muumba wa ardhi..
Nimejikuta nakukumbuka sana sana aiseee nikasema leo ngoja nitoe uvivu et
Uliwasumbua sana mrembo wanguAhsante sana ndugu yangu, tuko pamoja. Ule uzi bora ujifie kimoja tu, maana maugomvi huanzia pale. Watu wanaleta maisha halisi waliyonayo pale, mtu ana wivu wake akiona picha roho inamuuma anaanza shida. Akijilinganisha anaona hapana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lile ni komwe kama wenzako hawajakuambia, kweli nishindane na mtoto wa kiume sura? Mimi najiamini sanabind picha yangu na yako kama unajiamini, unajua komwe wewe?
Hahaha 😂
Huyo ni ashura kidawaLile ni komwe kama wenzako hawajakuambia, kweli nishindane na mtoto wa kiume sura? Mimi najiamini sana
HahahahahaHahaha 😂
Toka kajinga weweUnajikuta kidume sana kuita wenzio wadada, utaumia dogo, mi ni mwanaume rijal.
Ntakudunda oohoo mpk upate adult traumaMkuu mi sio baba angu weww...
Tutagombana we jamaa..
Mwanao ndege huyo sio mimi
Naaam kabisa mkuuApewe na lipshine kwa mng'ao bora wa lips wakati anatuelekeza hizo issues.
Refa niko hapa.Ntakudunda oohoo mpk upate adult trauma
Hahaha jamaa soft sana 😂 duuhSasa hiyo si nitakuwa ka anko T 😁😁
Unafeli mwamba mwanaume hatakiwi kushindana na mwanamke hata kidogo,bind picha yangu na yako kama unajiamini, unajua komwe wewe?
Nyie mlipaswa mkafie vitani huko Israel.
Shape ya Pesa tu mengine sio sanaMwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.
N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.