cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 117,727
- 191,834
Si km wee tyuuh anti hasu. 😂😂😂😂Kumbe huyo ni mwanamke? Kama ni mwanaume angekua bwabwa,
Si km wee tyuuh anti hasu. 😂😂😂😂Kumbe huyo ni mwanamke? Kama ni mwanaume angekua bwabwa,
Consult Jaku boyMwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.
N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Kweli kabisa.Jamani mwanaume tumefikia huku kuangaliana mashepu,ngoja niwasimulie,kuna jamaa yangu hapa jirani ni mbaya kinoma,mweusi,kichogo umbo haeleweki,ila anapesa,na ameoa mwanamke ambaye ukiambiwa huyu ni mke wa jamaa huwezi amini, pesa ndio shape la mwanaume.
Shape ya mwanaume ni:Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.
N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Shape ya mwanaume ni account inayo zungusha hela kwa speed na kwa wingi wa kutoshaMwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.
N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Kwa hizi akili ,Sio ajabu vijana wengi kwa sasa ni mashoga.Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.
N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
Anautaka...
Ona hili jingaAcha kuleta mambo ya michicha mwiba, hapa ni wanaume rijal
Kumbe ulifungwa?? Sijahudhuria siku nyingi hukoAhsante sana ndugu yangu, tuko pamoja. Ule uzi bora ujifie kimoja tu, maana maugomvi huanzia pale. Watu wanaleta maisha halisi waliyonayo pale, mtu ana wivu wake akiona picha roho inamuuma anaanza shida. Akijilinganisha anaona hapana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Za siku mtani, upo hewani ule uzi kwasasa umetolewa kifungoni 😁😁😁😁Kumbe ulifungwa?? Sijahudhuria siku nyingi huko
Njema mtani wangu...mic uuuuuuZa siku mtani, upo hewani ule uzi kwasasa umetolewa kifungoni 😁😁😁😁