Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

2025 sijui kama watu watapiga kura
Bora watu wajilalie tu,maana washindi washajulikana

Ova
 
Waache kumchuria Mama,aje ajifie madarakani kama walivyomchuria mtangulizi wake.
Ifike mahali kuwe na uchaguzi huru,tume huru kuwe na Tanzania iliyo na kibali hata mbele za Mungu.
 
Kuna mtu ninamheshimu sana ameniambia Kitu ambacho niliwahi kukisikia huko nyuma. Kwamba Mama ndiye Mzazi wa Rizi-One na mama Babake Mzazi Ni Mzee Rukhusa lakini alipata kumkataa huko nyuma kuwa sio mwanae na ndio Kisa cha jina lake la kati HULUSU.
🙆🙆‍♀️🙌
 
View attachment 2322973
Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna shaka Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kuwavusha watanzania hadi 2030 kutoka na uwezo mkubwa uliounesha katika uongozi na utendaji uliotukuka. Akizungumza katika kongamano maalum la kumpongeza Rais Samia huko Unguja leo hii, Shaka amesema Rais Samia pamoja na Rais Dkt. Hussein Mwinyi ni viongozi shupavu walioonesha ari kubwa ya kuwatumikia watanzania.

Shaka amesisitiza kutokana na kazi nzuri ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025, inatoa uhalali kwao kuendelea kuiongoza nchi yetu panapo kudra za mwenyezi Mungu mpaka 2030. Ikiwa pia ni utii wa katiba ya CCM, kanuni na utamaduni tuliojiwekea.

Aidha, Shaka amesema wale wenye ndoto ya Urais 2025 kwa bara na visiwani wasahau kwakuwa CCM inamila, katiba, desturi, utaratibu na miongozo mbalimbali zinazotawala muda wa Rais kudhaminiwa na Chama cha Mapinduzi.

===
Hadi mpigwe ndio mtapata akili wallahi! Hata ustaarabu wa kawaida acha demokrasi hakuna kwenu
 
Hili ni tatizo la CCM ambalo wameliambukiza taifa.Hakuna mwenye hati miliki ya chama.
 
Ni genge la majizi na wauza ngada linataka kujimilikisha nchi. Rithwan Jakaya Kikwete. Mama yake ni Samia Suluhu Hassan binti ya Ali Hassan Mwinyi!!
😆😆😆Mama wa Ridhiwani ni Mnyaturu wa Singida
 
Back
Top Bottom