Shaka: Wanaotaka Urais 2025 wasahau, ni Rais Samia bara ni Rais Mwinyi visiwani mpaka 2030

Kwanza hadi saizi sijamsikia mwanaccm yeyete kutaka Urais..

Pili sidhani kama Wana hiyo sababu maana Kwa jinsia mama anaupiga mwingi hawana Sababu Wala hoja ya kwa nini asigombee tena na wao ni mashahidi wa anachofanya Rais Samia.
Sure hakuna mwenye hilowazo
Kwakuwa maamuzi ni ya mkutano mkuu kumpitisha mgombea, basi kiongozi shaka asubili muda na wakati utakapotimia na afahamu hakuna...
Wewe ni MWANACCM wa ngazi gani?
 
Binafsi sina shida ata akikaa miaka 100 ila kila rais anasifiwa amefanya makubwa sasa mbona nchi inasogea mwendo wa tractor? Mbona nchi zenye improvements inayoonekana hawapendi kusifusifu namna hii...
Nchi hii ni kubwa mno,ni ngumu kuwa kama UHIO, kwa miaka 10
 
Huoni kama huo ni mkutano wa ndani?
Why katika demokrasia iliyotamalaki chini ya CCM hairuhusu uhuru wa vyama vya kisiasa woga wao upo wapi?,kikwete aliyeenda Kenya ni tofauti kabisa na kikwete aliyeko Dar, eti ane support independent candidates!!!
 
Nenda leo USA kama utakuta watu wanafanya mikutano ya hadhara,

Vyama lazima mjifunze kutumia media zaidi,

Mikutano ifanyike kwenye kampeni tu
 
SHAKA: RAIS SAMIA NA RAIS MWINYI MPAKA 2030

Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna shaka Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kuwavusha watanzania hadi 2030 kutoka na uwezo mkubwa uliounesha katika uongozi na utendaji uliotukuka.

Akizungumza katika kongamano maalum la kumpongea Rais Samia huko Unguja hii leo, Shaka amesema Rais Samia pamoja na Rais Dkt. Hussein Mwinyi ni viongozi shupavu walioonesha ari kubwa kuwatumikia watanzania.

Shaka amesisitiza kutokana na kazi nzuri ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 inatoa uhalali kwao kuendelea kuiongoza nchi yetu panapo kudra za Mwenyezi Mungu mpaka 2030 ikiwa pia ni utii wa katiba ya CCM, kanuni na utamaduni tuliojiwekea.

#CCMImara
#KaziIendelee
 
Attachments

  • VID-20220814-WA0001.mp4
    14.8 MB

Yote nii ni: UCHAWA, UNYANI, Epidomea

Nenda leo USA kama utakuta watu wanafanya mikutano ya hadhara,

Vyama lazima mjifunze kutumia media zaidi,

Mikutano ifanyike kwenye kampeni tu
Kumbe wewe una upumbavu, why niende US wakati hapo zambia wanafanya public political meetings?,tatizo lako unadhani ccm ina hati miliki ya nchi!
 
yeye aendelee tu,maana bara nimeona,mafuta ni ya zanzibar,tunashukuru sana,
IMG-20220813-WA0001.jpg
 
View attachment 2322973
Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna shaka Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kuwavusha watanzania hadi 2030 kutoka na uwezo mkubwa uliounesha katika uongozi na utendaji uliotukuka. Akizungumza katika kongamano maalum la kumpongeza Rais Samia huko Unguja leo hii, Shaka amesema Rais Samia pamoja na Rais Dkt. Hussein Mwinyi ni viongozi shupavu walioonesha ari kubwa ya kuwatumikia watanzania.

Shaka amesisitiza kutokana na kazi nzuri ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025, inatoa uhalali kwao kuendelea kuiongoza nchi yetu panapo kudra za mwenyezi Mungu mpaka 2030. Ikiwa pia ni utii wa katiba ya CCM, kanuni na utamaduni tuliojiwekea.

Aidha, Shaka amesema wale wenye ndoto ya Urais 2025 kwa bara na visiwani wasahau kwakuwa CCM inamila, katiba, desturi, utaratibu na miongozo mbalimbali zinazotawala muda wa Rais kudhaminiwa na Chama cha Mapinduzi.

===
AMESHAPITA TAYARI BADO KUAPISHWA TU, TUMUUNGE MKONO, RAIS WETU, HAJATENDEWA HAKI KIKATIBA, HII MIAKA 4 YA KUFIKIA 2025, ILIPASWA ISIHESABIKE, KWA SASA KWANI HII NI KWA MUJIBU WA KATIBA KWA YALIYOTOKEA, YAKIUCHAGUZI KWA KURA ZA WATANZANIA ILIPASWA IANZE KUHESABIWA KUANZIA 2025 ILI IISHIE 2035, TUNAMPENDA TUNAMKUBALI ANAIUNGANISHA TANZANIA BARABARA.
 
Ivi hili neno chawa tafsiri sahihi ni ipi?
Breaking social barriers of an individual whose financial or political status is clear by creating parasitic attachment believing to gain personal benefit by praise and worshipping that person publicly. This affects mostly unemployed african youths. Karibu tumodify ka difinishen ka chawa .sasa chawa kama huyu kashalamba asali inabidi uchawa uanze kupungua
 
Huyu Shaka adhibitiwe, ana kauli za mihemko ambazo zinabinya demokrasia nchini na kujenga utengano ndani ya chama chama chake.

Anatoa kauli za kijinga Sana.
 
SHAKA: RAIS SAMIA NA RAIS MWINYI MPAKA 2030

Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna shaka Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kuwavusha watanzania hadi 2030 kutoka na uwezo mkubwa uliounesha katika uongozi na utendaji uliotukuka.

Akizungumza katika kongamano maalum la kumpongea Rais Samia huko Unguja hii leo, Shaka amesema Rais Samia pamoja na Rais Dkt. Hussein Mwinyi ni viongozi shupavu walioonesha ari kubwa kuwatumikia watanzania.

Shaka amesisitiza kutokana na kazi nzuri ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 inatoa uhalali kwao kuendelea kuiongoza nchi yetu panapo kudra za Mwenyezi Mungu mpaka 2030 ikiwa pia ni utii wa katiba ya CCM, kanuni na utamaduni tuliojiwekea.

#CCMImara
#KaziIendelee
Uchochezi huu. Mungu hapangiwi eti!
 
Back
Top Bottom