Acha kua na akili finyu,,,unataka zifanye kazi bila service? Hata ukinunua gari baada ya Muda kidogo ni lazima ukafanye servise
Na balozi ameshajifunza kiswahili maana kashaona mazuzu wameingia kwenye 18 zaoHasara labda wanataka tuwe watumwa wa Canada kila baada ya Miaka 2 wanavuta hela ya service. Biashara kichaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wow!14JAN 2019...Bombardier kukarabatiwa Canada kwa bilioni 13.9/-!
SERIKALI imesema ndege mbili aina ya Bombardier Dash Q400 zilizonunuliwa mwaka 2016, zitapelekwa kufanyiwa ukarabati Canada mwezi ujao. Imesema ukarabati huo unatarajiwa kugharimu Dola za Marekani milioni sita (Sh. bilioni 13.860).
Eti?Detective J said:Muwe mnasoma habari in deep. Sio zile mpya. Hii ni bomberdier Q300 ambayo iliharibika kitambo.. hii ilikuwepo zamani kabla ya hizi mpya kuja. Ndio ndege pekee atcl walibaki nayo.
Masikini wa Mungu!Acha uongo,hiyo ni ile ndege ya pekee ambayo atcl walikuwa nayo kabla Serikali haijaanza kununua zingne.usiwe unaongea kitu bila kuchunguza
Kumbe ni Waziri!Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, aliyasema hayo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa kozi ya wahudumu ndani ya ndege katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).
What?Kwa nini mnaaminisha umma mambo ya uongo?? Km huna jambo la kupost la maana si ukae kimya? Chombo chochote kufanyiwa ukarabati ni jambo la kawaida na wala siyo dhambi....kama mnadhani sisi tutarudi nyuma kwa maneno yenu ya kijinga mmekwama,MAGUFULI MBELE KWA MBELE hadi 2025 asiyetaka ruksa kuhama nchi
Mtumba!Bombardier kukarabatiwa Canada kwa bilioni 13.9/-
Kivipi?Hiyo heading imekaa kipropaganda
Serikali hiyo inaongea!“Bombadier mbili tulizozinunua tunatarajia kuzipeleka nchini Canada kwa ajili ya kufanyiwa 'service', na ndege moja itagharimu Dola za Marekani milioni tatu,” alisema Waziri Kamwelwe.
Are you sure?Inaelekea habari hii ina mawaa/uongo kwani Bombardier zimekuja juzi tu na kabla ya hapo ATCL hawakuwa na ndege aina ya Bombardier
Lo salaale!Waziri huyo alisema kuwa, baada ya kuletewa taarifa hiyo, alilazimika kumfuata Rais John Magufuli na kumshauri serikali ianze kufanya ukarabati kwa hanga lililopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), ili kupunguza gharama kubwa ambazo nchi inaingia katika kuzikarabati ndege.
Na badoDudus said:ukarabati unaogharimu 13.8b/- kwa ndege mbili ndogo yaani wastani wa 6.9b/- kwa ndege moja yenye umri usiozidi miaka mitatu halafu ni ukarabati wa kawaida? Sina hakika kama zimesharudisha japo 15% ya gharama iliyotumika kuzinunua.
Remanufacturing? Kazi mbona ipo!Inaitwa Remanufacturing. Yani ndege inabomolewa yote, wanaanza kurudishia kifaa kimoja kimoja. Vilivyozeeka vinawekwa pembeni na kufungwa vipya.
Ni kweliHabari nyeusi, sishangai Zitto alisema hizo ndege ni mitumba nikama kivuko cha MV Dar Es Salaam #2020 Lissu#
Nachokaa...!Hizi ndege zimeanza kazi mwaka 2016, so ni kitu cha wazi kuwa zitakuwa zikihitaji ukarabati.
Wahame nchi ni ya babu yako?Kwa nini mnaaminisha umma mambo ya uongo?? Km huna jambo la kupost la maana si ukae kimya? Chombo chochote kufanyiwa ukarabati ni jambo la kawaida na wala siyo dhambi....kama mnadhani sisi tutarudi nyuma kwa maneno yenu ya kijinga mmekwama,MAGUFULI MBELE KWA MBELE hadi 2025 asiyetaka ruksa kuhama nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hapa tukisema Jiwe ni mpuuzi, anatubishia!Maana yake kati ya ile faida ya bilioni 23
Bilioni 13 zarudi Canada........
Faida inapungua hadi 10
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mkuu ukarabati kwa ndege iliyokuja juzi tu ! Duh !
Ukarabati == Service , chombo chochote lazima kifanyiwe service kubwa kila baada ya kipindi fulani.
Watanzania sasa kila kitu tunafanya siasa.
Iwe inafanyiwa baada ya miezi miwili mwaka mmoja haijalishi. Mlisaini mkataba nao matengenezo yoyote Canada wazungu waliona wajinga ndio waliwao. Mkiwavuruga na madini watasubiri ndege iende kwa service halafu wataishikilia END OF THE MOVIENdege inakarabatiwa hata baada ya miaka miwili, ulikuwa hulijuwi hili? Na kukarabati haimaanishi kama ndege mbovu ila ni routine maintenance tu kama gari ama chombo chochote kile cha moto. Watanzania jamani acheni ujinga, kwanini hampendi kujisomea ili muondokane na ujinga wa kujitakia? Siku hizi elimu bure na rais kafanya hivi makusudi tu ili afute ujinga uliokithiri hapa nchini. Na ndiyo maana nimesema kwa makusudi tu kuwa Zitto na Lissu wanapenda sana watu wasiojitambua na kuwachezea akili.
Hivi wewe masikini unadhani kila mtu ni mjinga ? unachekwa ujue !Wengi ni wajinga wa kujitakia, hawapendi hata kujisomea ili wajuwe ukweli.....wao kila kitu ni kukashifu na kukariri tu.
Kaka ATCL kabla ya kununuliwa hizi ndege sita mpya za Magufuli walikuwa na Bombardier mbili zenye namba za usajili 5H-MWG, na 5H- MWF, tofauti ya hizo ndege za zamani na hizi bombardier mpya za Magufuli ni model, hizi mpya ni Q400 na zina speed kubwa na capicity ya abiria ni kubwa kidogo kuliko zile Bombadier zetu za zamani ambazo model yake ni DHC8 (kwa sasa ni mbovu na zinahitaji kufanyiwa matengenezo)
Acha uongo,hiyo ni ile ndege ya pekee ambayo atcl walikuwa nayo kabla Serikali haijaanza kununua zingne.usiwe unaongea kitu bila kuchunguza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye gharama kuna cha juu cha wajanja wachache waliotengeneza dili la kwenda kukarabati Canada
Kwanza gharama ya kusafiri mpaka Canada nayo ni kubwa sana na kila ndege ikiwa inaenda kukarabatiwa Canada ni vigumu shirika la ndege kukua kwa kasi na kuendelea
Mkuu umenena, muhimu kuja na Mpango kabambe, ndani ya saa 4,000 wanapata nn?
Kuweza manage hizo costs za services?
Bado zile nyingine, hatujui ni Baada saa ngp?
Sent using Jamii Forums mobile app