Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,338
- 139,125
.
Kuutuma tu mzigo ni risk kwa ndege hizi za baba jmnhhh hii ambayo imeshafika?? kama ilikua mbovu mkuu haoni anayahatarisha Maisha ya watu kwa ajili ya tambo zake?
Baadhi ya watanzania waluchanga karata zao vibaya ktk sanduku la kura. Gharama zilizotumika kununulia hizi ndege zingeweza kufanya maendeleo mengine makubwa na wananchi wangeshanufaika mojakwa moja.
Nani wa kukujibu haya maswali yako muhimu.Usitegemee ujibiwe.Kila mtu anachunga ugali wake.Langu Niombe kujua haya
1-Imeharibika Nini?
2-Tangu Ndege hii Imeingia Tz Imeisha ingiza Fedha kiasi gani?
3-Ukarabati huu ni wa kiwango gani?
4-Je imehujumiwa kwa kunyofolewa vifaa labda na wasio litakia mafanikio Taifa?
4-Ukarabati wake utasimamiwa namna gani ili kusitengenezwe mizengwe na hujuma zaidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Data data hizo ulitegemea akwambie amepata hasara.Mpaka zilale hapo chini kwa tumbo ndo utajua ulipata faida au hasara.Juzi jiwe kasema ndege zimepata faida ya bilioni 28. Sasa ona tayari bilion 13.6 zinatoka kwa ajili ya maintenance ya bombadier mbili tu, what about costs za kila siku?, what about costs za kuikeep dreamliner?. Hii inaonyesha kuwa kuingia kwenye business bila plan ya kueleweka ni hasara tupu mbeleni
Ubalozi wa Canada umesema unaungana na ubalozi wa Marekani na Uingereza katika kutilia wasiwasi wa uzorotaji wa utoaji haki nchini Tanzania.SERIKALI imesema ndege mbili aina ya Bombardier Dash Q400 zilizonunuliwa mwaka 2016, zitapelekwa kufanyiwa ukarabati Canada mwezi ujao. ...soma vizuri sio kila kitu kuunga juhudi..
DUA LA MAMA KUKU/MAMA VIFARANGA HALIMPATI MWEWE!Data data hizo ulitegemea akwambie amepata hasara.Mpaka zilale hapo chini kwa tumbo ndo utajua ulipata faida au hasara.