Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

Sh. Bilioni 13.9 kukarabati Bombardier nchini Canada

Service kubwa siyo?

Sisi wa magari hapo tungemwaga oil zote change filter zote,aircleaner, brake zote, kagua bush zote, balljoints zote, kagua suspension system nzima...

13bil kibongo bongo inatosha kufungua kampuni kubwa tu na mtu ukaheshimika hapa mjini.

Endeleeni kuchezea pesa zetu.
 
Umesoma kilichomo kwenye ukurasa huo au umepuyanga tu,shida sisi watanzania tuna tatizo la uvivu wa kusoma,huwa tunasoma front page then tunaanza kupuyanga,jirekebishe na jaribu kusoma chote tnen ndo urudi kuandika upya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi hapa nilivyofuatialia uzi huu,zaidi 85% ya wachangiaji hawajasoma content yote ya habari ya mleta uzi
Wanauliza maswali yaliomo Tena wazi kwenye habari hapo juu.....

Na hii inanyeosha Ni namna gani hata kwenye mada zingne humu jukwaani kwa Great Thinkers ambavyo watu huwa wanachangia "just by reading the thread title " kinachofata Ni kusifia/kusupport au kupinga/kutusi na kukashifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuendesha shirika la ndege nipasua kichwaa!!

Hizo bilion 13 mnazitoa wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hiyo hesabu ikoje kila baada ya masaa 4000! Unatoa shililngi bilioni 6.7 kwa services tu, kuna faida tena hapo utakayo kiwa unapata?? Kuna kitu hakiko sawa!!!je hayo masaa hiyo ndege inakuwa imeshazarisha hiyo faida kweli?!!
 
Sawa Mkuu; lakini rekodi mbalimbali na maelezo ya viongozi tuliambiwa ni MPYA. Sasa watuambie inakuwaje ndege mbili MPYA kukarabatiwa kwa 13.8 billion!

Ndipo utajua kuwa watanzania wanadharauliwa sana na Hicho ni kipimo mojawapo, viongozi wengi wanajua kuwa watanzania hawajui kitu na hawana haki ya kuhoji chochote pindi wakishatengeneza dili zao za 10%
 
Sasa hiyo hesabu ikoje kila baada ya masaa 4000! Unatoa shililngi bilioni 6.7 kwa services tu, kuna faida tena hapo utakayo kiwa unapata?? Kuna kitu hakiko sawa!!!je hayo masaa hiyo ndege inakuwa imeshazarisha hiyo faida kweli?!!
Mkuu,
Ndege ni hasara tupu,

Nisawa na Mtumishi wa Serikali mwenye mshahara wa 700k unaendesha Crown Majesta cc 3000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye gharama kuna cha juu cha wajanja wachache waliotengeneza dili la kwenda kukarabati Canada
Kwaakili zangu finyu na ubahili nilionao Bil 13 ningeleta hao mafundi na zana zote zinazohitajika kutoka canada na ningebaki na chenchi kubwa sana..

Inamaana "aftersale service" ya hawa bombadia ni masaa 3999tu?

Inauma sana kwakweli.. Bil.13 Ingeweza kujenga hata shule kadhaa... Hivi alisema zile hostel za expansion joint kila moja ilijengwa kwa sh ngapi? Wakati nafundishwa mambo ya "value for money" nikawa nasema hata hili linahitaji kwenye kwenye mtaala wa wachumi kweli? Ila leo nimeamini siyo kila msomi ni MSOMI ndio maana wale wenzetu huwa wanaitana "wakili msomi"
 
Langu Niombe kujua haya
1-Imeharibika Nini?
2-Tangu Ndege hii Imeingia Tz Imeisha ingiza Fedha kiasi gani?
3-Ukarabati huu ni wa kiwango gani?
4-Je imehujumiwa kwa kunyofolewa vifaa labda na wasio litakia mafanikio Taifa?
4-Ukarabati wake utasimamiwa namna gani ili kusitengenezwe mizengwe na hujuma zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Cc:jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom