Taa ya umeme
New Member
- Nov 21, 2018
- 3
- 1
Kichaa kapewa lungu
Service sio mpaka kitu kiharibike bali hata kama kinatembea lakini kuna muda ukifika unahitaji kubadili baadhi ya vitu kama ilivyo kwenye gari utabadili Engine oil, sijui filters etc na ndio maana zinakwenda Canada (hazibebwi kwenye semitela - Jokes)....nimekujibu tu swali lako ila hata mie huo mji-gharama unanichefua aisee, watu wanatuuzia alafu wanatusubiri kwenye service tena tunawapelekea)Na kama hazjaharibika zinafanyiwa service ya nini? Au zinaenda tu kukaguliwa? Kwa 13.8 billion?
1. Kabla ya magufuli kuingia ikulu ATCL walikuwa na bomberdier 1 aina ya Q300Inaelekea habari hii ina mawaa/uongo kwani Bombardier zimekuja juzi tu na kabla ya hapo ATCL hawakuwa na ndege aina ya Bombardier
Biashara kichaa hiii.....Mwaka wa shetani huuuWewe Ndege zetu zinakuhusu nini? Hata kama ni hasara bado ni zetu, go hang!
Tuliisha mwambia madege hayawezi hasara juu ya hasara.akalipe watu was korosho kwanza ndo ayapeleke hukokila mtu anataka kula cake ya taifa... unataka aondoke akiwa raisi wa ajabu aliewahi kuongoza tanzania na kuondoka bila ufisadi?? uoni idara zote za fedha kaweka ndugu zake?? na hizi ni miaka 4 tu what next ? akipata ridhaa ya miaka mitano baadae??
Biashara kichaa hiii.....Mwaka wa shetani huuu
Katika nchi yetu tumefanywa kama vipofuSubirini kuona umasikini unaongezeka.
Akili ndogo ni Hatari sanaHaijalishi ni mwaka wa nani, ndege ni zetu tupate hasara au faida wewe kinakuwasha nini?
Ndani ya mwaka mmoja tu alijitengenezea ngome yakekila mtu anataka kula cake ya taifa... unataka aondoke akiwa raisi wa ajabu aliewahi kuongoza tanzania na kuondoka bila ufisadi?? uoni idara zote za fedha kaweka ndugu zake?? na hizi ni miaka 4 tu what next ? akipata ridhaa ya miaka mitano baadae??
Ng'ombe ya LumumbaWewe Ndege zetu zinakuhusu nini? Hata kama ni hasara bado ni zetu, go hang!
Zitakua ni ndege jamii ya kuku! Labda.Tuliisha mwambia madege hayawezi hasara juu ya hasara.akalipe watu was korosho kwanza ndo ayapeleke huko
Sent using Jamii Forums mobile app
nyie watu tukiwaita misukule kumbe hatukosei....Wewe Ndege zetu zinakuhusu nini? Hata kama ni hasara bado ni zetu, go hang!