Hizo ndege zote 2 bado ni mpya na ni cheki ya kwanza, Haziwezi fikia gharama hiyo hata kidogo.. Each airplane Q400 na bado mpya, first major check C, ikizidi sana labda $ 1.4 to $ 1.5 mil.. Meaning kwa gharama ya juu labda zote zingefikia $ 3 mil around tshs 7 bil..
$ 6 mil is way too too expensive for 2 New Q400 first check.
Mh. Rais naamini kaliona hili he will make a quick follow-up, tunamuamini na najua hili ata deal nalo vema.. Hapa kuna upigaji mkubwa..!! Au wapeleke Ethiopian Airlines kwa matengenezo fast ndani ya wiki moja zote ndege 2 zitakuwa hapa, huenda wakalipa hata $ 1.5 mil kwa zote mbili.. Au Mh. Rais nichague mm nikasimamie maintenance yake nizipeleke Ethiopian Airlines utashangaa..!! One week na $ 1.5 mil inaweza tosha kabisa..!!