Bilion 13 ni pesa nyingi kumbuka ATC yenyewe haijaanza kutengeneza faida kurejesha gharama za ununuzi ndege, bilion 13 kuna 10% za wajanja wachache huo ni ufisadi kuna ujanja ujanja umeanza mapema na hii kero ndiyo ilifirisi ATCL iliyopita wanatumia visingizio vya ukarabati nk kupiga pesa.View attachment 993773
Kufuatia taarifa iliyotolewa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe kuwa, Ndege 2 za Bombardier zitapelekwa nchini Canada kwa service itakayogharimu bilioni 13.9, Mkurugenzi wa ATCL, Ladislaus Matindi, akiongea na TBC leo asubuhi, ameeleza kuwa, kwa kawaida ndege hufanyiwa service kwa masaa na kwamba service kubwa hufanyika kila baada ya ndege kukimbia kwa muda wa masaa 4,000.
Matindi alisema kuwa wakati wa kuifufua ATCL ilikuwa na Marubani 11 lakini kwa sasa ina Marubani 50, kati yao 48 wazawa na 02 wageni.
Mipango iliyopo ni kufikisha marubani 60.
Mkurugenzi huyo alieleza kuwa, maboresho makubwa yamefanyika ya kuajiri wahandisi wapya na wa zamani na kufikisha idadi ya wahandisi 80.
Matindi alisema kuwa, wanatarajia kuanzisha program ya kuchukua wanafunzi kutoka vyuoni mmoja kwa moja na kuwafundisha na kwamba watakaoonyesha moyo wa uzalendo na maadili wataajiriwa.
Habari imeletwa na Mgambilwa ni mntu bila shaka ipo pia kwenye tanzanite
Hizi ndege zimeanza kazi mwaka 2016, so ni kitu cha wazi kuwa zitakuwa zikihitaji ukarabati.Habari nyeusi, sishangai Zitto alisema hizo ndege ni mitumba nikama kivuko cha MV Dar Es Salaam #2020 Lissu#
Mkuu, ndo izi hapa? Unakumbuka ingine ilianguka kule Kigoma baada ya kufeli engine?Kaka ATCL kabla ya kununuliwa hizi ndege sita mpya za Magufuli walikuwa na Bombardier mbili zenye namba za usajili 5H-MWG, na 5H- MWF, tofauti ya hizo ndege za zamani na hizi bombardier mpya za Magufuli ni model, hizi mpya ni Q400 na zina speed kubwa na capicity ya abiria ni kubwa kidogo kuliko zile Bombadier zetu za zamani ambazo model yake ni DHC8 (kwa sasa ni mbovu na zinahitaji kufanyiwa matengenezo)
Kwa maana hiyo hoja ya msingi haijatenguliwa; yaani bado inasimama kama ilivyo - bombadier mbili MPYA zitapelekwa Canada kufanyiwa ukarabati kwa gharama ya 13.8 billion!
... chombo chochote kinahitaji ukarabati hilo halina ubishi. Tatizo ni gharama za huo ukarabati na sio ukarabati wenyewe; elewa hoja.Hizi ndege zimeanza kazi mwaka 2016, so ni kitu cha wazi kuwa zitakuwa zikihitaji ukarabati.
Imekuwa news coz zinapelekwa Canada but tungekuwa na karakana yetu ya ukarabati inafanya kazi kule Kilimanjaro, hakuna ambaye angehoji, right?
Wewe zuzu kweli hiyo unayosema nayo ni bomba dear? Ndio tatizo la kusoma headings tu!! Shame on u!!Acha uongo,hiyo ni ile ndege ya pekee ambayo atcl walikuwa nayo kabla Serikali haijaanza kununua zingne.usiwe unaongea kitu bila kuchunguza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndege zimeanza kazi mwaka 2016, so ni kitu cha wazi kuwa zitakuwa zikihitaji ukarabati.
Imekuwa news coz zinapelekwa Canada but tungekuwa na karakana yetu ya ukarabati inafanya kazi kule Kilimanjaro, hakuna ambaye angehoji, right?
Muwe mnasoma habari in deep. Sio zile mpya. Hii ni bomberdier Q300 ambayo iliharibika kitambo.. hii ilikuwepo zamani kabla ya hizi mpya kuja. Ndio ndege pekee atcl walibaki nayo.
Hizi mpya ni Q400 .inayoenda kufanyiwa matengenezo ni Q300
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mkuu; lakini rekodi mbalimbali na maelezo ya viongozi tuliambiwa ni MPYA. Sasa watuambie inakuwaje ndege mbili MPYA kukarabatiwa kwa 13.8 billion!Ndege zile hazikuwa mpya ni mitumba kuna ufujaji pesa umeanza kupitia kisingizio cha kwenda canada kufanyiwa ukarabati
... chombo chochote kinahitaji ukarabati hilo halina ubishi. Tatizo ni gharama za huo ukarabati na sio ukarabati wenyewe; elewa hoja.