Old story
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 2,265
- 2,155
Na kama hazjaharibika zinafanyiwa service ya nini? Au zinaenda tu kukaguliwa? Kwa 13.8 billion?Kama zimeharika zitawezaje kwenda Kanada?
Wewe ndo huache uongo, ndege ile ya Boeing haiwezi kukarabatiwa na kampuni ya bombardier mkuu, ndege husika ni among zile bomberdier za mwanzo. hayo matango poli kawalishe uvccm pale LumumbaAcha uongo,hiyo ni ile ndege ya pekee ambayo atcl walikuwa nayo kabla Serikali haijaanza kununua zingne.usiwe unaongea kitu bila kuchunguza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo supu kuna paya au kongoro?ndomana anazitest kwa kubebea supu ya mbuzi maana unaweza kubebea binadam ikawa zahama.
Nilikuwa namuuliza aliyesema zimeharibika ila zinatakiwa kufanyiwa service.Na kama hazjaharibika zinafanyiwa service ya nini? Au zinaenda tu kukaguliwa? Kwa 13.8 billion?
Ni services ya botmbadier zote. Ni utaratibu kufanyiwa services, waziri wa mawasiliano alilielezea hili ndio maana kuna haja ya kufufua hangar la KIA.Ni ile ndege mpya iliyonunuliwa hivi karibuni na kupokelewa kifalmeView attachment 993742
Hizo faida zilitoka wapi ikiwa kamati ya hesabu ya mashirika ya umma PAC walisema ndege zile hazijawahi kuingiza faida, huyo jiwe muongo mupngo sana usimuamini kila sana, yule muamini salamu zake tuMaana yake kati ya ile faida ya bilioni 23
Bilioni 13 zarudi Canada........
Faida inapungua hadi 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro cha ajabu hapa nini? Unadhani ndege ni Vitz? Hiyo ni service ya kawaida na wala hakuna cha ajabu. Kama unapanda basi kwenda Moshi unalipa sh 30 elfu mwingine anakwenda Moshi huko huko analipa laki 3 hujawahi kujiuliza why? Nipashe wameandika kwa maana nyingine ya kawaida tu, lakini wewe unataka kuonyesha kama ni kitu cha ajabu saana. Acheni umbeya kwa mbo msiyoyaelewa.Ni ile ndege mpya iliyonunuliwa hivi karibuni na kupokelewa kifalmeView attachment 993742
Hazijaharibika ni service ya kawaida tu sema hana clue yoyote na ndege.weka maelezo, hizi za juzi tu zimeshaharibka? Makopo haya yalikuwa mitumba kama ni hivyo!
"KUSIKIA KWA KENGE MPAKA ATOE DAMU MASIKIONI "SAFI SANA MATUMIZI MAZURI YA FEDHA ZA WALIPA KODI "TAX PAYERS" TUENDELEE KUNUNUA NDEGE,TUSIJENGE MADARASA,TUSIAJIRI KABISAIS,TUSINUNUE DAWA .Ni ile ndege mpya iliyonunuliwa hivi karibuni na kupokelewa kifalmeView attachment 993742
Ndiyo inaitwa Bombardier?Acha uongo,hiyo ni ile ndege ya pekee ambayo atcl walikuwa nayo kabla Serikali haijaanza kununua zingne.usiwe unaongea kitu bila kuchunguza
Sent using Jamii Forums mobile app
SEHEMU NYINGINE MIFUGO INASHEA MAJI YA KUNYWA NA BINADAMU.