We jamaa ni mku.ndu haswaHuo ugonjwa ukiingia chadema Chama kitabaki kitupu hakina mwanachama hata mmoja
Acha kupotosha watu. Mombasa hakuna aliyeambukizwa hata 1.ALERT! ALERT! coronovirus already spreaded to Mombasa a Chinese is undergoing treatment at mombasa Hospital. He has infected the Doctors and Nurses and whoever was handling him.
Kindly be aware of any handshakes. Or a crowded place where a person is coughing or sneezing... It's contagious. Drink lots of water ni keep yourself and children hydrated Avoid foods sold on the streets... Especially children whose immune system is low. Pass this message to others prevention is better than cure
Jr
Mazingira si rafiki, wanafunzi wanamaliza vyuo hamna Ajira.Wale mliokua vipanga mashuleni/vyuoni hizo research zenu zililenga kutafiti nini? Maganda ya korosho? Mbona tangu Ebola mpaka corona sioni anaetikisa hata lip ya mdomo kusema wanaangalia uwezekano wa kuvumbua/gundua dawa ya magonjwa kama hayo? Ok mtasema kuwa hamna sampuli. Vipi ugonjwa unaosababishwa na Mbu hata ka chanjo kameshindikana?
Fanya kitu omba ufadhili...Mazingira si rafiki, wanafunzi wanamaliza vyuo hamna Ajira.
Nakama ajira zipo hamna vitendea kazi.
Kila Tafiti inaitaji fungu. Kujitoa kwa akili zote.
Sasa kama Hata fungu hamna unafanya ili iweje.
Sent using Jamii Forums mobile app
wazungu wenyewe wameshindwa kupata dawa ya virus wa aina yoyote senbuse wabongo wanaosoma kwa kukariri?Wale mliokua vipanga mashuleni/vyuoni hizo research zenu zililenga kutafiti nini? Maganda ya korosho? Mbona tangu Ebola mpaka corona sioni anaetikisa hata lip ya mdomo kusema wanaangalia uwezekano wa kuvumbua/gundua dawa ya magonjwa kama hayo? Ok mtasema kuwa hamna sampuli. Vipi ugonjwa unaosababishwa na Mbu hata ka chanjo kameshindikana?
Hide my ID Jf.Mtoa mada naona una hamu ya kubambikizwa kesi ya uhujumu uchumi.