Serikali yatangaza ajira mpya 9,675 kada za Ualimu na Afya

Mkuu Kwani Trh. 7/09/2021 Tushafika? Halafu Katibu Mkuu Nae Kalipitisha Hili Tangazo.
Screenshot_20210509-142508.jpg
 
Kwa walioomba mwanzo na wanaoomba sasa, wote vigezo ni sawa ama?. vigezo vya sasa ni vya wanaoomba sasa?
Inaonekana waliioomba mwaka jana mwaka huu hawaombi ila wanahakiki taarfa tu, pia labda wa art wa mwaka hna wanaweza kmba tebs maana kwa secondar hamna art.
 
Niwaombe kuwapa kipaumbele ambao wamemaliza miaka ya 2015, kurudi nyuma maana umri wao umeenda hivo angalau wanaweza kuwaangalia kwa jicho la tatu. Ninawaonea huruma sana kwani wengine maisha yameganda kabisa wasijue wapi waanzie .mama waangalie hawa vijana wako nao wanastahili kupata keki japo kipande...
 
AJIRA ZA WALIMU NA AFYA TAMISEMI 2021
Click below to download PDF: Kudownload pdf bofya chini hapo:
TANGAZO LA KAZI TAMISEMI UALIMU NA AFYA PDF


APPLICATION INSTRUCTIONS

1. If you are a new applicant, kindly click below to apply (Kwa Wanoanza Usajili):



2. If you have already registered in the TAMISEMI system, click below to apply (Kwa Tayari Waliojisajili):


NOTE: The TAMISEMI application system might not be opened yet, so kindly visit this page more often to apply.

Deadline for applications: 23rd May 2021
 
Safi sana....japo unajipigia "assist" kama De bruine.
Niwaombe kuwapa kipaumbele ambao wamemaliza miaka ya 2015, kurudi nyuma maana umri wao umeenda hivo angalau wanaweza kuwaangalia kwa jicho la tatu. Ninawaonea huruma sana kwani wengine maisha yameganda kabisa wasijue wapi waanzie .mama waangalie hawa vijana wako nao wanastahili kupata keki japo kipande...
 
Uzoefu wangu ni kwamba network huwa inasumbua so inahitaji uvumilivu wa chuma na ikiwezekana usislale tegea mida ya wanga utume,ngoja nijaribu bahati yangu tena ,baada ya ile kipindi cha marehemu jiwe kuwa ndivyo sivyo
Ujaribu bahati yako kwani ni kwa baba yako huko!
uwezekano wa kupata ajira bila connection ni mdogo sana amini nakwambia. Fanya maarifa upate walau mtu wa kukushika mkono huko vinginevyo utaishia kuwa mshiriki kila matangazo yanapotoka.
 
Ndugu zangu naomben munisaidie mimi nashindwaa fungua akaunti mpya yani nashndwaa azisha akaunt msaaada wazoefu tunafanyaje
 
Back
Top Bottom