Sidhani kama nitaunga juhudi hizo, nikipanda nitalazimika kutafuta usafiri mwingine tena ndipo nifikeWewe ulipaswa kuunga mkono hizo juhudi. Ingewezekana ungepanda kabisa.
Sio kweli jana mm nimepishana na basi la mwendo kasi maeneo ya kibamba chama pale limejaza watu kibao wanapelekwa kibaha ..tambua pia kibaha maili moja sasa iv ina wakazi wengi piaNauli ni sh ngapi?
Huku naona watu hawashobokei hiyo mwendokasi, Gari za Mlandizi zinafanya vyema huku.
Mimi naona wangeanzisha route ya Kawe- Mbezi kupitia Goba, mile kuna abiria wa kutosha
Sawa mkuu ngoja tuone kama italeta ushindaniSio kweli jana mm nimepishana na basi la mwendo kasi maeneo ya kibamba chama pale limejaza watu kibao wanapelekwa kibaha ..tambua pia kibaha maili moja sasa iv ina wakazi wengi pia
Uamuzi mzuri mno mno mno daladala za Mbezi mlandizi ni wanyanyasaji hasa nyakati za usiku na weekend kukiwa na abiria wengiJana nililipita bus la mradi wa mwendokasi(UDART) kwenye stand ya mabasi Kibaha likiwa limepack mithili ya kusubiri abiria, nilijiuliza huenda limeanzisha route mpya hadi huku Kibaha lakini nikafikiria huenda lina shughuli nyingine tofauti na kusafirisha abiria.
Leo tena limelipita pale pa jana, mara hii nimeona kuna mtu kapanda, pia dereva na muhudumu walikuwa wameketi nje wakisubiria watu wapande.
Kama kweli hii route imeanzishwa, haya maamuzi ni sahihi? Au kisa hii njia iliyopanuliwa ndio wameamua walete bus huku hata kama ni abiria wachache ukilinganisha na viunga vya Dar.
Waziri Mbarawa na Timu yake TANROAD wanapaswa waikague hii barabara ya njia nane kutokea kimara mwisho hadi kibaha kuona Vituo vya Daladala vinajengwa vizuri na pia kuwekwa vibao vya majina ya sehemu husika.MKUU ile njia haina vituo vya KUPANDIA wala KUSHUSHIA Abiria
Hahahaaa, tushawazoea aisee.Uamuzi mzuri mno mno mno daladala za Mbezi mlandizi ni wanyanyasaji hasa nyakati za usiku na weekend kukiwa na abiria wengi
Hapa ndio wamenikonga moyohii ime kaa poa sana tu
kimara kibaha Nauli 650 wakati kabla ya hapo kwa daladala ilikua natumia nauli kimara Mbezi 400 then mbezi kibaha 500
kwa hiyo nikiwa na 650 nafika vzuri kibaha tofauti na awali nilikua natumia nauli zaidi 900
imesaidia sana wananchi.hii ime kaa poa sana tu
kimara kibaha Nauli 650 wakati kabla ya hapo kwa daladala ilikua natumia nauli kimara Mbezi 400 then mbezi kibaha 500
kwa hiyo nikiwa na 650 nafika vzuri kibaha tofauti na awali nilikua natumia nauli zaidi 900
Safi saanaaaaWatu wa Kibaha mmeletewa MWENDOKASI afu hamsemi!
Pichani ni MWENDOKASI ikiwa kituo cha basi NJUWENI MAILI MOJA
Mama anaupiga Mwingi
Rasmi tangu J3Mbezi Kwenda Posta na Kariakoo yametosha kutoa huduma bila misongamano au kuwasubirisha abiria muda mrefu vituoni?
Je, una uhakika yameanza rasmi 'route' hiyo?
Mda wao was kwenda kuifungua mashamba ya kilimo umeishafika,wanapaswa kisoma alama za nyakati.ila ndio ivyo tena ajira za madereva wa daladala zinakufa ivyo
Wayalete mpak uku ToangomaWatu wa Kibaha mmeletewa MWENDOKASI afu hamsemi!
Pichani ni MWENDOKASI ikiwa kituo cha basi NJUWENI MAILI MOJA
Mama anaupiga Mwingi