Serikali yapeleka huduma ya mabasi ya Mwendokasi Kibaha

Hiyo ni route mpya nivema itawasaidia wengi maana hizo bus kwangu huwa naziona zinarahisisha sana usafirishaji hp dar
 
Nauli ni sh ngapi?

Huku naona watu hawashobokei hiyo mwendokasi, Gari za Mlandizi zinafanya vyema huku.

Mimi naona wangeanzisha route ya Kawe- Mbezi kupitia Goba, mile kuna abiria wa kutosha
Sio kweli jana mm nimepishana na basi la mwendo kasi maeneo ya kibamba chama pale limejaza watu kibao wanapelekwa kibaha ..tambua pia kibaha maili moja sasa iv ina wakazi wengi pia
 
Sio kweli jana mm nimepishana na basi la mwendo kasi maeneo ya kibamba chama pale limejaza watu kibao wanapelekwa kibaha ..tambua pia kibaha maili moja sasa iv ina wakazi wengi pia
Sawa mkuu ngoja tuone kama italeta ushindani
 
Jana nililipita bus la mradi wa mwendokasi(UDART) kwenye stand ya mabasi Kibaha likiwa limepack mithili ya kusubiri abiria, nilijiuliza huenda limeanzisha route mpya hadi huku Kibaha lakini nikafikiria huenda lina shughuli nyingine tofauti na kusafirisha abiria.

Leo tena limelipita pale pa jana, mara hii nimeona kuna mtu kapanda, pia dereva na muhudumu walikuwa wameketi nje wakisubiria watu wapande.

Kama kweli hii route imeanzishwa, haya maamuzi ni sahihi? Au kisa hii njia iliyopanuliwa ndio wameamua walete bus huku hata kama ni abiria wachache ukilinganisha na viunga vya Dar.
Uamuzi mzuri mno mno mno daladala za Mbezi mlandizi ni wanyanyasaji hasa nyakati za usiku na weekend kukiwa na abiria wengi
 
Wamefanya jambo la busara sana na hii yote ni kupunguza msongamano stand ya Mbezi kama ilivyokuwa zamani Kimara.. Kwasasa kimara pameboreshwa mno hakuna tena kugombea magari..Mwanzoni haikuwezekana kabisa
Miundombinu ya Mbezi Kibaha inaruhusu haya magari kufika bila tabu.. Sasa ni vema kukawa na route za moja kwa moja Kibaha Kariakoo na Kibaha Ferry...!

Sijui huku ndio kuupiga mwingi? Kwa BRT lakini!
 
hii ime kaa poa sana tu
kimara kibaha Nauli 650 wakati kabla ya hapo kwa daladala ilikua natumia nauli kimara Mbezi 400 then mbezi kibaha 500

kwa hiyo nikiwa na 650 nafika vzuri kibaha tofauti na awali nilikua natumia nauli zaidi 900
 
MKUU ile njia haina vituo vya KUPANDIA wala KUSHUSHIA Abiria
Waziri Mbarawa na Timu yake TANROAD wanapaswa waikague hii barabara ya njia nane kutokea kimara mwisho hadi kibaha kuona Vituo vya Daladala vinajengwa vizuri na pia kuwekwa vibao vya majina ya sehemu husika.
 
Uamuzi mzuri mno mno mno daladala za Mbezi mlandizi ni wanyanyasaji hasa nyakati za usiku na weekend kukiwa na abiria wengi
Hahahaaa, tushawazoea aisee.

Kuna siku konda alitaka kunidhulumu chenji yangu, nilianzisha timbwili timbwili mbona alisalimu na kunipatia chenji yangu
 
hii ime kaa poa sana tu
kimara kibaha Nauli 650 wakati kabla ya hapo kwa daladala ilikua natumia nauli kimara Mbezi 400 then mbezi kibaha 500

kwa hiyo nikiwa na 650 nafika vzuri kibaha tofauti na awali nilikua natumia nauli zaidi 900
Hapa ndio wamenikonga moyo
 
hii ime kaa poa sana tu
kimara kibaha Nauli 650 wakati kabla ya hapo kwa daladala ilikua natumia nauli kimara Mbezi 400 then mbezi kibaha 500

kwa hiyo nikiwa na 650 nafika vzuri kibaha tofauti na awali nilikua natumia nauli zaidi 900
imesaidia sana wananchi.
kutokana na ukubwa pamoja na unyeti wa barabara hii haswa ukizingatia kuwa ndio lango kuu la Uchumi wa Jiji la DSM na Nchi nzima kwa ujumla UDART wajitahidi kuongeza mabasi zaidi ktk ruti hii, ni muhimu sana.
 
hiyo sio mwendekasi tena bali ni basi tu la kawaida maana halitumii njia ya mwendo kasi na linakaa kwenye foleni kama daladala za kawaida tu.
 
wananchi wanaomba pia kuwepo na ruti ya kuingia Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila.
Hospitali hii ni Hospitali ya Rufaa hivyo inahudumia watu wengi sana kutoka sehemu mbalimbali.
hivyo sio vibaya kama kutakuwepo na ruti ya kuingia Hospitali ya Mloganzila
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom