Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,704
- 4,737
Kusifu na kutukuza ni kawaida. Muda ni mwalimu mzuri sanaWatu wapo ktk ujira wa kusifu
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Kusifu na kutukuza ni kawaida. Muda ni mwalimu mzuri sanaWatu wapo ktk ujira wa kusifu
Ha ha ha . Ilani inatekelezwa kwa vitendoPongezi nyingi kwa Uongozi wa UDART zaidi kwa CEO Mr. Charles Nawe kwa kuruhusu ruti ya mwendokasi hadi Kibaha.
Hakika ni maamuzi sahihi kwa wakati sahihi maana Kibaha na DSM zimeunganishwa na Barabara ya Njia nane, mkeka wa maana hivyo hakuna sababu kwa nini mwendokasi zisifike Kibaha, barabara safi na ya uhakika.
Pili abiria ktk barabara hii ni wengi sana ambao wanafuata huduma za kiafya ktk Hospitali ya Muhimbili Mloganzila, kuna Kituo cha Mabasi Cha Magufuli Bus Terminal lkn pia kuna kituo kikubwa cha Polisi kiluvya Gogoni.
Sehemu zote hizo wananchi wanafuata huduma, hivyo mwendo kasi wamerahisisha sana. Pongezi kwa uongozi wa UDART na CEO,
kazi iendelee tujenge uchumi wa nchi yetu.
Mkuu umekumbusha jambo la muhimu sana,Sio Kibaha tu, hadi hospitali ya rufaa Mloganzila wanaenda toka Mbezi Mwisho na Kimara, pia wanaenda kituo cha Mabasi Magufuli. Mambo ni Moro!
Kutoka Kimara mpaka Mbezi yana Barabara yake ya peke yake kwamba hayatokaa foleni hizi za kawaida?Watu wa Kibaha mmeletewa MWENDOKASI afu hamsemi!
Pichani ni MWENDOKASI ikiwa kituo cha basi NJUWENI MAILI MOJA
Mama anaupiga Mwingi
Nauli ni sh ngapi?Hiyo ni route mpya Mkuu..
hii ni wiki sasa imeanza tuendelee kusubiri tuone kama itawezwkana