Mwingiii sanaaaaaMama anaupiga Mwingi
Mwingiii sanaaaaaMama anaupiga Mwingi
Utoto raha sana kwaiyo unategemea ayo yote yaletwe kwa kutegemea hizo tozo tu. Vip kuhusu rasilimali nyingine ambazo zipo katka taifa zina manufaa gani sasa ?wewe siunataka maji na hospitali yenye dawa lkn pia unataka barabara safi, sasa unadhani nani atakuletea hivyo vitu vyote? vishuke kutoka mbiguni?!
lipa tozo ufaidi matunda yako mwenyewe, acha kudeka.
Unajibizana na kichaa huyo,Utoto raha sana kwaiyo unategemea ayo yote yaletwe kwa kutegemea hizo tozo tu. Vip kuhusu rasilimali nyingine ambazo zipo katka taifa zina manufaa gani sasa ?
Ba tatzo sio tozo tatzo ni mfumo wanaoutumia kupata hizo tozo, kwann mwananchi akatwe mara mbili na serikali (vat & tozo yao hyo) ?
Yan hiv vitoto vinalipwa kushadadia mambo ya kipuuziUnajibizana na kichaa huyo,
Inasemekana, Kitengo kimesambaza vitoto vya kutema shombo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, ikianzishwa mada ya msingi kwenye mitandao ya kijamii vinavamia na kuanza kuandika pumba ili kuharibu mada.Yan hiv vitoto vinalipwa kushadadia mambo ya kipuuzi
Sera zinapokuwa siyo shirikishi huwa hazifanikiwiHao wadau tunaoambiwa ndio walitoa wazo ndio hawa kina zun
Wewe pengine ni wale high class wa nchi hii, hauna clue wananchi wanavyoumia na tozo kubwa kupita kiasi.Akiiondoa hii tozo ajue kuwa mwezi wa tano itabidi awahutubie wafanyakazi mei mosi tena pale watakapomtaka mama atamke neno juu yao. Akili kichwani mwake.
Kwangu mimi ikitokea mama amekomaa na hii kodi basi itakuwa ndio mara ya kwanza Samia ameonyesha sifa ya Rais anayetakiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, after JPM
Not because kulipa kodi ni kitu watu tunapenda, bali itakuwa imeanza kumwingia akilini kwamba kuwa kiongozi mwenye mafanikio ni uwezo pia wa kufanya maamuzi magumu na uwezo wa kukusanya pesa.
Kipo kigezo kimoja akikifanikisha mi nitakuwa sina ajizi zaidi ya Samia Mitano tena mara ifikapo 2025.
Nacho ni uwezo wa kufanya mambo yanayoonekana. Akiweza kutambua kuwa kodi za wananchi ni jasho la wavuja jasho, si pesa ya kutumbua wao na waliomzunguka. Nikiona anakwenda kuzindua miradi ya kimikakati iliyokamilika, nikiona anaweza kuwawajibisha watakaoitafuna pesa ya walipa kodi ovyo, basi Samia Mitano Tena!
Ila ile tozo sio kodi ni wizi mkuuwewe siunataka maji na hospitali yenye dawa lkn pia unataka barabara safi, sasa unadhani nani atakuletea hivyo vitu vyote? vishuke kutoka mbiguni?!
lipa tozo ufaidi matunda yako mwenyewe, acha kudeka.
Hii kodi unaitafsiri isivyo.Wewe pengine ni wale high class wa nchi hii, hauna clue wananchi wanavyoua na tozo kubwa kupita kiasi.
Kwani zamani wananchi walikuwa hawakatwi kodi kwenye miamala?, sema hii ya sasa hivi ni kubwa sana inaathiri maisha ya watu
Tofauti yake na yule mwongo wa kwanza, Magufuli ni kwamba mama anapiga uongo huku akitoa maneno na sauti za kupoza maumivu ya uongo. Magufuli alisema uongo waziwazi, huku akilazimisha kwa nguvu nyingi uongo uonekane kuwa ndio ukweli!Ila huyu mwana mama ni muongo muongo sana
unaibiwaje wakati pesa inaenda kujenga madarasa watakayo soma watoto.wako na wajuu zako.Ila ile tozo sio kodi ni wizi mkuu
Hivi kwa akili yako unaamini kuwa kwa hizo tozoumiza miamala itaendelea kushamiri kama ilivyokuwapo ?unaibiwaje wakati pesa inaenda kujenga madarasa watakayo soma watoto.wako na wajuu zako.
acha roho mbaya mkuu, changia maendeleo ya nchi yako.
Mwanasiasa yeyeto muamini wakati huo tuMbona nilisikiaga kuwa yeye eti hataki KODI ZA DHULUMA?
Au nilikuwa naota?
Tatizo miradi ya sifa ni lzm ikamilike,aliyepita aliuwa vyanzo yasongetokea hayaUtoto raha sana kwaiyo unategemea ayo yote yaletwe kwa kutegemea hizo tozo tu. Vip kuhusu rasilimali nyingine ambazo zipo katka taifa zina manufaa gani sasa ?
Ba tatzo sio tozo tatzo ni mfumo wanaoutumia kupata hizo tozo, kwann mwananchi akatwe mara mbili na serikali (vat & tozo yao hyo) ?