Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
4,217
2,000
Naona sasa mzunguko wa pesa utashuka sana mitaani,teknolojia badala ya kurahisha kwetu Tz inakuwa kero kwa wananchi
 
Patra31

JF-Expert Member
Apr 24, 2020
3,011
2,000
wewe siunataka maji na hospitali yenye dawa lkn pia unataka barabara safi, sasa unadhani nani atakuletea hivyo vitu vyote? vishuke kutoka mbiguni?!
lipa tozo ufaidi matunda yako mwenyewe, acha kudeka.
Utoto raha sana kwaiyo unategemea ayo yote yaletwe kwa kutegemea hizo tozo tu. Vip kuhusu rasilimali nyingine ambazo zipo katka taifa zina manufaa gani sasa ?
Ba tatzo sio tozo tatzo ni mfumo wanaoutumia kupata hizo tozo, kwann mwananchi akatwe mara mbili na serikali (vat & tozo yao hyo) ?
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,155
2,000
Yan hiv vitoto vinalipwa kushadadia mambo ya kipuuzi
Inasemekana, Kitengo kimesambaza vitoto vya kutema shombo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, ikianzishwa mada ya msingi kwenye mitandao ya kijamii vinavamia na kuanza kuandika pumba ili kuharibu mada.
Wakati mwingine kumtukana mleta mada.
Ni mbinu ya kijinga waliyojifunza China, Chama cha Kikomunist cha China kina jeshi la mtandaoni wachina wenyewe wanaliita 50-Cent army, kazi yake ni kudivert mijadala na kutuma posts za kuiunga mkono serikali. Kila post anayotuma, mtu analipwa senti 50 za kichina
 
zimmerman

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,128
2,000
Akiiondoa hii tozo ajue kuwa mwezi wa tano itabidi awahutubie wafanyakazi mei mosi tena pale watakapomtaka mama atamke neno juu yao. Akili kichwani mwake.

Kwangu mimi ikitokea mama amekomaa na hii kodi basi itakuwa ndio mara ya kwanza Samia ameonyesha sifa ya Rais anayetakiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, after JPM

Not because kulipa kodi ni kitu watu tunapenda, bali itakuwa imeanza kumwingia akilini kwamba kuwa kiongozi mwenye mafanikio ni uwezo pia wa kufanya maamuzi magumu na uwezo wa kukusanya pesa.

Kipo kigezo kimoja akikifanikisha mi nitakuwa sina ajizi zaidi ya Samia Mitano tena mara ifikapo 2025.

Nacho ni uwezo wa kufanya mambo yanayoonekana. Akiweza kutambua kuwa kodi za wananchi ni jasho la wavuja jasho, si pesa ya kutumbua wao na waliomzunguka. Nikiona anakwenda kuzindua miradi ya kimikakati iliyokamilika, nikiona anaweza kuwawajibisha watakaoitafuna pesa ya walipa kodi ovyo, basi Samia Mitano Tena!
 
Wewe pengine ni wale high class wa nchi hii, hauna clue wananchi wanavyoumia na tozo kubwa kupita kiasi.
Kwani zamani wananchi walikuwa hawakatwi kodi kwenye miamala?, sema hii ya sasa hivi ni kubwa sana inaathiri maisha ya watu
 
pilato93

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
4,876
2,000
wewe siunataka maji na hospitali yenye dawa lkn pia unataka barabara safi, sasa unadhani nani atakuletea hivyo vitu vyote? vishuke kutoka mbiguni?!
lipa tozo ufaidi matunda yako mwenyewe, acha kudeka.
Ila ile tozo sio kodi ni wizi mkuu
 
zimmerman

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,128
2,000
Wewe pengine ni wale high class wa nchi hii, hauna clue wananchi wanavyoua na tozo kubwa kupita kiasi.
Kwani zamani wananchi walikuwa hawakatwi kodi kwenye miamala?, sema hii ya sasa hivi ni kubwa sana inaathiri maisha ya watu
Hii kodi unaitafsiri isivyo.

Unajua kabla ya hii tozo sijui kodi mlikuwa mmeichukia serikali ya JPM kwa sababu ya namna zake za kukusanya kodi? Alipolazimisha kila duka lililoka mjini liwe na zile mashine za risiti? Kuanzia vile vigrocery vidogo kabisa hadi maduka makubwa? Ali mradi yapo tu mjini ilibidi yalipe kodi tu na kufunga zile mashine.

Now mi nilikuwa pro-JPM kindakindaki na nasikitika nchi imempoteza kiongozi very capable namna ile. Lakini miongoni mwa vitu sikukubaliana naye ilikuwa namna alivyodeal na private sekta namna ile. Hii nchi bado haijafikia kiwango cha private sekta kubeba mizigo yote ya nchi.

Hii nchi bado, inabidi wote tushiriki kuijenga na walau kwa hizi tozo hata yule asiyefikika kwa mifumo rasmi ya ukusanyaji kodi atashiriki.
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
11,037
2,000
Ila huyu mwana mama ni muongo muongo sana
Tofauti yake na yule mwongo wa kwanza, Magufuli ni kwamba mama anapiga uongo huku akitoa maneno na sauti za kupoza maumivu ya uongo. Magufuli alisema uongo waziwazi, huku akilazimisha kwa nguvu nyingi uongo uonekane kuwa ndio ukweli!

All in all, hawa watu wawili hawatofautiani.
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
11,098
2,000
unaibiwaje wakati pesa inaenda kujenga madarasa watakayo soma watoto.wako na wajuu zako.
acha roho mbaya mkuu, changia maendeleo ya nchi yako.
Hivi kwa akili yako unaamini kuwa kwa hizo tozoumiza miamala itaendelea kushamiri kama ilivyokuwapo ?
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
6,200
2,000
Utoto raha sana kwaiyo unategemea ayo yote yaletwe kwa kutegemea hizo tozo tu. Vip kuhusu rasilimali nyingine ambazo zipo katka taifa zina manufaa gani sasa ?
Ba tatzo sio tozo tatzo ni mfumo wanaoutumia kupata hizo tozo, kwann mwananchi akatwe mara mbili na serikali (vat & tozo yao hyo) ?
Tatizo miradi ya sifa ni lzm ikamilike,aliyepita aliuwa vyanzo yasongetokea haya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom