Kitendo cha kulindima Risasi nyingi ktk makazi ya kiserikali( Makazi maalum) kilipaswa kuiamusha security system kwa namna yoyote ile.Hebu jiulize hivi Taifa lililo "civilized" linaweza kutopeleleza Kesi ya kumiminiwa risasi, mchana kweupe, tena kwenye makazi ya waheshimiwa, tena kwenye CCTV camera, kama alivyofanyiwa Tundu Lissu?