Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Ndugu Donald Simango Mejitii MNEC Mkoa wa Dodoma
Ndugu Evarist Paschal Gervas MNEC Mkoa wa Geita
Ndugu Gilbart Jordan Sampa MNEC Mkoa wa Katavi
Ndugu Joseph Mkuyu Peneza MNEC Mkoa wa Mtwara
Ndugu Emanuel Gungu Silanga MNEC Mkoa wa Simiyu

Hawa wote watiifu TEC.
Mbele ya CCM kila goti litapigwa. Huwezi kuleta fitina kwa mwenyekiti wa chama Taifa halafu tukuangalie tu.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Sijasikia inasemaje?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
artworks-000570184118-uk5oyb-t500x500.jpg
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.

Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
Nilichogundua kwako ni kwamba wewe wala siyo Mwana CCM bali ni shabiki tu!!!

Mwana CCM yupi na katika ngazi ipi anaweza simama jukwaani kuwatukana Maaskofu?

Au unadhani Uaskofu ni jambo rahisi tu kama Watoa Mihadhara?

Wewe kweli ni uchafu tu
 
Sina sababu ya kukuthibitishia uanachama wangu. ila naamini sisi ndio saizi ya hao maaskofu serikali tunaipa kazi ya bure ya kuwajibu hao.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Nilichogundua kwako ni kwamba wewe wala siyo Mwana CCM bali ni shabiki tu!!!

Mwana CCM yupi na katika ngazi ipi anaweza simama jukwaani kuwatukana Maaskofu?

Au unadhani Uaskofu ni jambo rahisi tu kama Watoa Mihadhara?

Wewe kweli ni uchafu tu
Halafu umeshasikia CCM ikiwatukana hao maaskofu pamoja na tamko lao la dharau kwa serikali ya chama cha mapinduzi?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
CCM wajae .unachekesha wewe

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sichekeshi. Inaonekana wewe unaamini kwamba CCM ni mungu. Bro Tanzania ya Leo si ya Jana. What is CCM by the way? Iliwekwa na mungu? Bible na Quran ndiyo zitabaki milele lakini si vyama vya siasa. Kama wewe unaamini kwamba CCM Wana akili kuliko akili yenyewe then wewe ni myopic halafu ni..............? Ngoja nikustahi tu
 
Wee kijana kuwa makini, nakwambia mkipanga mikakati yenu ndani ya saa Moja tu itakua tec , ujue hao uvccm wapo waumini pia
 
Sichekeshi. Inaonekana wewe unaamini kwamba CCM ni mungu. Bro Tanzania ya Leo si ya Jana. What is CCM by the way? Iliwekwa na mungu? Bible na Quran ndiyo zitabaki milele lakini si vyama vya siasa. Kama wewe unaamini kwamba CCM Wana akili kuliko akili yenyewe then wewe ni myopic halafu ni..............? Ngoja nikustahi tu
CCM iliwekwa na Mungu ndio maana mpaka leo Chadema na ujanja ujanja wao wote wameishindwa.

Back
Top Bottom