Sometimes nahisi acvount yake imekuwa hacked...Haiwezi kuelewa huyo mjinga.
Orodha ya mchongo.huijui ccm weweOrodha ya viongozi waliondani ya CCM ambao wanatii maagizo ya TEC:
1. Ndugu Daniel Godfrey Chongolo
2. Anamringi Issay Macha
3. Dkt. Philip Isidor Mpango
4. Ndugu Sofia Edward Mjema
5. Dkt. Tullia Ackson
6. Ndugu Mary Pius Chatanda
7. Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda
8. Ndugu Naziri Mustafa Karamagi
Orodha ni ndefu sana.
Wewe mbutwe mbutwe uje utuletee mbwembwe hapa.
Hahaha endelea kushabikia chadema unapoteza muda wako. Mbowe ni mtoto wa Mwalimu nyerere kama hujui watoto wa nyerere ndio zao wanaruka ruka kama kuku jioni ikifika wanaingia bandani. Makongoro yupo wapi sasa?Ndio mnavyojidanganya hivyo hapo Lumumba?
Chongolo ni nani kwenye CCM ? Ndio maana nasema huijui CCM weweChongolo hajapewa waraka ausome tena kwa sauti parokiani kwake? [emoji1787]
Watu wapo tu hata maporini huko acha kanisani.Serikali haiwezi kulikwepa kanisa...maana kanisa ni watu...
Hakuna hoja pale ni chuki iliyofichwa kwa mgongo wa bandari.Ivi chawa wanaakili ya kujibu hoja zilizopo kwenye huwo waraka?.
Unapotaka kuutingisha utawala wa CCM ni hatari kuliko vita ya alshabbabu . Subirini mtaona.Hao CCM ndo wenyeviti wa jumuia, wenyeviti wa Parokia. Hawahawa CCM ndo walisoma waraka jana kwenye jumuia.
Ndugu Patrick Pater Boisaf
Najua unawajaza ujinga wajae vizuri. Good technicNaishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Wewe huna uCCM wowote bali umejaa chuki na roho ya uchochezi kwa serikali yetu tukufu ya CCM.Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
Kama hujui wadhifa wa Chongolo na majukumu yake ndani ya CCM wewe ni mchamba wima.Chongolo ni nani kwenye CCM ? Ndio maana nasema huijui CCM wewe
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hahaha wiki iliyopita tulikuwa na timu ya wakaguzi ya DP World pale bandarini maandalizi ya kuanza mradi.We kalime mbaazi kama ulitegemea kupata ajira Dp World ndio ishakufa kibudu hio.
Ni TEC siyo CCMNdugu Patrick Pater Boisaf
Ndugu Peter Toima Kiroya
Ndugu Chandi Patrick Marwa
Dkt. Stephen Isaac Mwakajumulo
Ndugu Joseph Peter Masunga
Ndugu Reuben Sixbert Jichabu
Ndugu Deo Kasenyenda Sanga
orodha ni ndefu sana mdogo wangu. Hawa ni viongozi wa juu kabisa na watiifu kwa TEC. siyo wewe hapo kajamba nani.
Huo mwiko ndio wanatumia kusongea fitina! Fitina zinapikwa ja ugaliKABLA SIJATULIA MIMI MTOTO MDOGO SANA, KWANI FITINA KWENU SI NI MWIKO? AU SIKU HIZI FITINA KWENU SIYO MWIKO?
Acha dharau wewe. Kule TEC kuna PhD zaidi ya 100. Hapo CCM kuna PhD ngapi kama sio kumejaa matope tupu?Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60.
Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.
CCM Oyeee.
CCM wajae .unachekesha weweNajua unawajaza ujinga wajae vizuri. Good technic
Hiyo simu inakupa michecheto sanaHahaha wiki iliyopita tulikuwa na timu ya wakaguzi ya DP World pale bandarini maandalizi ya kuaza mradi.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wenye chuki kwa serikali ni TEC na nyie mamlukiWewe huna uCCM wowote bali umejaa chuki na roho ya uchochezi kwa serikali yetu tukufu ya CCM.