Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Serikali Tuachieni wana CCM tupambane na TEC

Umeusoma walaka lakini? Wakanushe vipengere Ivo walivo discuss sio habar za dini
Kanisa katoliki haina na serikali ktk uendeshaji wa shughuli zake, watulize vitako vyao hivyo wakaeneze injili ndio kazi yao. Wazinzi tu hao nimewadharau sana
 
Naishauri Serikali yangu isihangaike na hako kakikundi ka wanaojiita TEC hili suala tuangeachiwa CCM tunajua fitina za kushughulika na hawa watu sisi ndio chama Dume tuliyopigania na kudumisha uhuru wa nchi hii kwa miaka zaidi ya 60. Maendeleo mnayoyaona hayakuja kwa bahati mbaya ni mipango madhubuti ya Chama Cha Mapinduzi. Hili suala tuachiwe sisi naona kama serikali itajipa majukumu mepesi wakati mambo ya kufanya ni mengi.

CCM Oyeee.
Ni zaidi ya wiki tangu nilipoonya serikali ilivunje jeshi la Rapid Force linaloongozwa na Uvccm, vitisho hivi vinavyoonekana sasa ni viashiria vya kujiamini kwa jeshi hilo, kujiamini huko kunatokana na uhakika kuwa vyama vingine havina vikosi vya kuweza kupambana nao.
Naendelea kutoa eito kwa msajili wa vyama vya siasa kukifuta kikosi hiki.
 
Imani ya chama chenu haijatoa option ya kufanya fitina..!! yaani iwe jua iwe mvua, kwenu fitina ni mwiko. Sasa leo hii unaposema serikali iwaachie CCM kwamba mnajua namna ya kufanya fitina, ni kwenda kinyume na imani yenu ya chama.. Na ipo siku imani zingine za chama chenu mtaivunja au mmeshawahi zivunja. inawezekana kabisa hata ile ya KILA MTU ANASTAHILI HESHIMA MMESHAIVUNJA MARA KIBAO..!!
Sasa kama utawala wetu unapigwa fitina unategemea tukae kimya?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hawa TEC walikuwa wapi wakati majizi ya CCM na Magufuli yakitupora kura zetu CHADEMA?
 
Back
Top Bottom