Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,223
- 27,449
- Thread starter
- #41
Naona unajitetea sana lakini unaijua CCM vizuri na hizi fitina za TEC kwa utawala ni jambo dogo sana.Hakuna chama cha siasa chenye watu
Makanisa ndio.yana watu.
Maaskofu katoliki huheshimiwa kuliko.kiongozi yeyote wa chama cha siasa au serikali
Muumini katoliki mwana CCM hawezi heshimu chama kuliko Askofu wake
Hujui unachoongea
Wewe utakuwa muislamu hujui mfumo wa Katoliki ulivyo.Askofu katoliki akitamka kitu.hakuna muumini wa kumuambis fyoko bila kujali ana cheo gani ndani ya CCM Bunge au mahakama au Jeshi lolote
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
