Ssm Mnaongea kama vibogoyo, mimi ni msabato ila kanisa katoliki ndo linaloiongoza dunia.
Na hili halina ubishi la siyo mfukuzeni kadinali muone mziki wake maana yule ni balozi wa vatican nchini tanzania.
Na hawa watu ni wapelelezi wenye uweledi wa hali ya juu sana.
Wachungaji wetu wengi ni form four felia wameungaunga na viddigrii vya theology. Na wengine hawajui hata kusoma na kuandika.
Ila ili uwe padri lazima upite kwwnye michujo migumu vibaya mno , lazima uwe njema kichwani, vinginevyo hautoboi.
So hili ni zaidi ya kanisa na ni zaidi ya nchi, na kadinali akiongea rais lazima aufyate