Chikaka mgiliki
Senior Member
- Mar 14, 2022
- 160
- 301
2009 nilikuwa bado shule nilikuwa kidi sanaWakati sheria imetugwa 2009,wewe ulikuwa haujazaliwa?Mbona ukuipinga kipindi kile?.
kazi na iendelee.utawezaje dhibiti usafirishaji huo?ndo fursa kwa wafanyabiashara na watumishi wa wizara hiyo kupiga diri.kwa nn wanyama hao wasiruhusiwe kurishwa mbugani na huko nje wanaenda kufanya nini kama si kuua hifadhi zetu.vita vya kiuchumi ni ngumu tuendelee kuibiwa.yalianza makinikia na sasa ni wanyama hai.tunaupiga mwingi.Oyooo twiga anapanda ndege tena
ndugai alikuwa sahihi tatizo lake hakuongelea sehemu sahihi,wakati sahihi na pahala sahihi basi.Hatuna Rais kwa kifupi
Sio poaKuna wanaharakati wetu waliwahi kuongea sana na kuiponda awamu ya tano kwa kuhamisha baadhi ya wanyama kutoka baadhi ya hifadhi na kuwapeleka hifadhi ya Burigi wakati lengo la JPM ilikuwa kukuza utalii maeneo yote hasa yenye akiba ya mapori, leo inatolewa idhini ya wanyamapori kusafirishwa nje ya nchi hutasikia hao walioibeza awamu ya tano wakipiga kelele. Tanzani tunaendesha siasa za chuki sana. kila mabaya ya awamu ya sita ni mazuri kwao, ila yaliyokuwa mazuri ya awamu ya tano kwao yalionekana mabaya. tunaomba na leo mpige kelele kama kweli nyie ni wazalendo.
Hao wanyama wabakie hapa ili waje kuwaona ukiwapelekea kwao watakujaje kufanya utalii kwetu maana wanauwezo hata wa kuwanunua wanyama wote tulionao na wakatengeneza zoo zakutosha kwao huko. Tanzania tunashida gani lkn?.
Kuna watu walifuga vipepeo ili kuuza wakazuiliwa, we una ona ni haki? Na wizara imesema ni wale wanyama wadogo walio kua wana fugwa kwa ajili ya kuuzwa. Na sababu ni kwamba kitaalamu huwezi kuwarudisha tena porini.Kuna wanaharakati wetu waliwahi kuongea sana na kuiponda awamu ya tano kwa kuhamisha baadhi ya wanyama kutoka baadhi ya hifadhi na kuwapeleka hifadhi ya Burigi wakati lengo la JPM ilikuwa kukuza utalii maeneo yote hasa yenye akiba ya mapori, leo inatolewa idhini ya wanyamapori kusafirishwa nje ya nchi hutasikia hao walioibeza awamu ya tano wakipiga kelele. Tanzani tunaendesha siasa za chuki sana. kila mabaya ya awamu ya sita ni mazuri kwao, ila yaliyokuwa mazuri ya awamu ya tano kwao yalionekana mabaya. tunaomba na leo mpige kelele kama kweli nyie ni wazalendo.
Hao wanyama wabakie hapa ili waje kuwaona ukiwapelekea kwao watakujaje kufanya utalii kwetu maana wanauwezo hata wa kuwanunua wanyama wote tulionao na wakatengeneza zoo zakutosha kwao huko. Tanzania tunashida gani lkn?.😓🤐
Umesoma tangazo lao Serikali vizuri? 👇Hapa Sasa viongozi wanaenda kusafirisha wanyama kupitia migongo ya hao wanaoitwa wenye leseni za kusafirisha wa nyama....Mama atafungua nchi mpaka atapitiliza..... Royal tour imeamua kuwapelekea wageni wanyama huko huko walipo.
Mpuuz kweli wewHamna tatizo kama wapo wengi sana
Ifanyike namna ile ndege itunguliwe ikiwa na twiga hao hapo ndio tutaheshimiana na kuto kuchezeaa na wazungu wwf watakuwa upande wetu tu ikiwa utatokea mzozoUmesoma tangazo lao Serikali vizuri?
Hapana hari ya hewa nitifauti huwezi kumchukua kiboko au nyumbu ukawaifadhi ulaya hawata weza kuishi kutokana hari ya kijografiaSimple logic hao jamaa wa nje wakiwa na wanyama kama wa kwetu utalii si utakoma kwetu
Mbona miaka yote hiyo nyuma tangu enzi ya Nyerere hao wanyama hawakwisha? Vibali vimezuiwa tangu 2016 ni miaka 6 tu ukipiga mahesabu.Kufika 2030 wanyama watakua wameisha nchi hii maana sasa watasafirishwa kwa hasira sana kufidia muda ule ambao hawakua wanasafirishwa.
Hii nchi sasa ni ruksa kwa kila kitu, nchi imefunguliwa kwa rushwa, wizi, mikataba mibovu, na kila kitu.
Huyu mama kwao Zanzibar hawana wanyama zaidi ya pweza na ngisi anataka amalize wanyama wetu kisha arudi kwao Zanzibar.
Watanganyika tumekwisha.
Maneno tu hayo ambayo hawana uharisia wenye vitalu watawawinda Twinga, duma nk, usiku watawaifadhi kwenye vitalu vyaoHawauzwi wanyama waliopo kwenye hifadhi za taifa au mamlaka ya hifadhi (Ngorongoro) ila wanauzwa wanyama wa kwenye vitalu.
Unaakili sanaa weweNgoja mama watafutie hela
Mkiongezwa posho mnashangilia
Wakiajiri mnashangilia
Mkiongezwa mishahara mnashangilia
Wanafunzi wote wakipatiwA mikopo ya elimu ya juu mnashangilia
Sasa pesa zinatoka wapi?
Je ni bora kuwa na wanayama maporini huku mnakufa njaa?
Kwamba Mnyamapori azeeke hadi ajifie ndo tufurahi?
Wauzwe tupate pesa!
Hii ni biashara na watu watapata pesa.
Maisha ni biashara, biashara yenye akili.
Siyo kupinga tuu under Emotional attacks.
Mama piga kazi
Wewe ni mjinga na wajinga wa kujitakia huwa nawaacha.Mpuuz kweli wew