Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

Wanzanzibari watu wa hovyo sana
Kweli kabisa maana njaa zenu Tanganyika ndizo zilizowalazimisha Wazanzibar kukusanya makodi kupitia TRA ili muweze kulipana mishahara yenu na maposho mbali mbali huko Tanganyika, pamoja na maendeleo yenu barabara na madaraja.

Hakuna mzanzibar anayenufaika ata shilingi 1 pesa inayokusanywa ni TRA Zanzibar. Ndio mana sasa mnaleta dharau, kiburi na matusi na ndio mana mnakazia muungano udumu muzidi kuvinyonya vile visiwa. piriad
 
Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani.

Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi

Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu, Serikali inaiagiza TFF kubadili ratiba ya mchezo huu wakati kukiwa na maelfu ya wananchi Uwanjani. Hili ni kosa, Serikali imewakosea sana wananchi.

Kwanza ni lini serikali ikawa na mamlaka ya kupanga ratiba za ligi?

Pili, Serikali inataka Kuwachonganisha wananchi na Mzee wetu mzee Mwinyi, Mtu asiyependa makuu, Kwa nini mlifanye tukio lake kuwa ni adha kwa wengine?—Je mzee Mwinyi ndiye aliyewatuma kubadili ratiba ya mambo mengine ya kijamii kwa ajili yake binafsi?

Huu utaratibu wa kufanya mambo kwa zimamoto zimamoto ni dalili za serikali dhaifu, isiyojiamini inayokurupuka!

Tunataka yeyote aliyehusika kubadili ratiba hii ya mchezo, ambayo wananchi walishawekeza akili zao na muda wao achukuliwe hatua mara moja! . Hatuwezi kuvumilia mikurupuko kama hii.

Na isitokee mkasingizia kuhusu Mfungo wa Ramadhani, Suala la ramadhani lilishajulikana toka mfungo ulipoanza kwa hiyo msisingizie eti kuwapa Waislamu muda mzyri wa kufuturu, Kwanza hata huo muda wa saa moja jioni Waislamu watakuwa bado wanafuturu kwa hiyo Msituletee hoja hii!

Tunataka serikali isifanye mambo kwa sababu yenyewe ina uwezo wa kutoa amri basi lazima itekelezwe, serikali lazima iheshimu timetable za wananchi.

Nimekereka sana na uamuzi huu wa Serikali kuingilia ratiba za Mpira, Ni mambo ya ajabuajabu kabisa haya!
Usituletee habari za simba na yanga hapa, nyinyi watanganyika washamba sana mnajidai uzalendo lakini hizo team zote zinacheza mpira wa kizamani na wa kishamba kabisa ni kwa vile hujawai ata mara moja kuangalia mpira wa ulaya kwenye Television zilizotapakaa kote.,

Sio lazima kushabikia mpira wa nyumbani kwenu kama hawajui kucheza mpira ni mguu supu tu muda wote. Siku moja nilishangaa sana wabongo wamezongea uwanja kufika nachungulia kunachezwa mpira wa machakacha.,
 
Bodi ya ligi walipiga simu harakaharaka kwa vilabu. Klabu yangu pendwa haikukubaliana na ujinga huo ikapeleka timu kwa mujibu wa kanuni. Klabu nyingine ikakubali muda mpya. Mechi ikavunjika. TFF wakasema wamesikitishwa, Yanga wakasema wamesikitishwa, Simba wakasema wamesikitishwa na wakadai pointi 3 za mezani, wizara ikasema imesikitishwa; kitu cha ajabu hakuna kati yao aliyesema ni nani amewasikitisha.

Jana waziri Majaliwa anampa agizo waziri wa michezo kupanga tarehe mpya ya mechi. Hasemi nini ilikuwa sababu ya kuvuruga mechi yetu.

Leo wizara imeandika barua ya kurasa mbili. Imewaachia TFF wapange ratiba mpya lakini haisemi nini kilikuwa chanzo cha kuvuruga mechi ile bali eti ilikuwa na nia njema.

Sarakasi zote hizi zinaashiria ni mama mwenyewe ndiye aliyetoa agizo mechi isogezwe mbele; ama kwa kutaka kwenda kujiongezea umaarufu au kwa sababu nyingine anazozijua yeye, NDIO MAANA HAKUNA WA KUMNYOOSHEA KIDOLE.

Tumerejea kuwa nchi ya mapimbi.
View attachment 1780645
View attachment 1780652
The letter is so long which shows they are not telling the truth. The whole letter can be summarised in one simple paragraph
 
Kweli kabisa maana njaa zenu Tanganyika ndizo zilizowalazimisha Wazanzibar kukusanya makodi kupitia TRA ili muweze kulipana mishahara yenu na maposho mbali mbali huko Tanganyika, pamoja na maendeleo yenu barabara na madaraja.

Hakuna mzanzibar anayenufaika ata shilingi 1 pesa inayokusanywa ni TRA Zanzibar. Ndio mana sasa mnaleta dharau, kiburi na matusi na ndio mana mnakazia muungano udumu muzidi kuvinyonya vile visiwa. piriad
Huu ndio umbumbumbu
 
Back
Top Bottom